Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Poleni jamaniii
Na nyie bwana mambo yenu ya kukopi kila kitu, huku sio siasani bwana aaaah!![]()
Mimi ni mtu nisiejulikana, nafanya mambo yasiyojulikana
My condolences, tupo pamoja kwenye kipindi hiki.Nilikitarajia Kabla Ya Msimu Kuanza! Ila Walioipenda Liverpool Kuanzia 2010 Ndiyo walitangaza Ubingwa Msimu huu! Lakini wanashindwa Kufahamu Kuwa Hakuna Timu inayochukua Ubingwa na Kikosi Kisichozidi Wachezaji 13...
nikusindikize aisee , nikubebee simu mana hali ilivyo unaweza kusahau kwenye meza.Wacha Nikapunguze Stress kwa Bapa mbili.....
Wacha Nikapunguze Stress kwa Bapa mbili.....



0