Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

sjuy kwanini ila i dont see us winning this game also

Sielew tatizo n nin
9 goals scored
9 conceded

Tutegemee maajabu tu

Hichi ni Kituko Cha Mwaka! Tumefunga Magoli 9, tumefungwa 9... Uwezo wa Kufunga ni sawa na uwezo wa Kufungwa...

Score to Conced ratio ni 1:1 ..... Kimahesabu Tunasema Liverpool ni Neutral...
 
Wale Klopp-Fanboys Waliokua Wakijisifia Clean sheet mbili badala ya Ushindi Sijui leo Watatuambia nini!!!!

My Take: Ninajiandaa Kisaikolojia Kumaliza Nafasi ya 6
mkuu, kwa mwendo huu hata legend Benitez na Newcastle yake wanaweza kumaliza juu yetu!
 
Mechi zetu nne zinazofata kwenye EPL ni hizi:

LEICESTER (A)

NEWCASTLE (A)

MAN U (H)

TOTTENHAM (A)


Hapo obviously kinajuilikana ni nini kitatutokea..... Nadhani baada ya Mechi hizi nne ndiyo Pataamulika Kama [HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG] au [HASHTAG]#KloppStay[/HASHTAG]..
 
Disappointed BUT is OK
Burnley 3-Chelsea 2
Burnley 1-Totenham 1
In Klopp I trust
 
OX kaikataa Chelsea
OX kakataa kubaki Arsenal
Teams hizo zote mbili zilimpa mshahara mnono kuliko Liverpool!
VVD kasema kama sio Liverpool hachezi kwingine?Unafikiri kocha angekuwa BR hawa wachezaji wangetaka kuja jiunga na project za Liverpool?
Na yule aliyekuwa akingangania kuondoka...?
 
lkn me nna ona kitu cha ziada team yetu haina Captain huyu Henderson hafai kua Captain ana zingua tu
 
Ilitakiwa tushinde ili tuonekane miamba kwao... Kwa sasa tukubali tu klopp kafeli alianzsha kitu kashindwa kukimalza

Sababu ya mechi ya 5?
Origi katupeleka CL mwaka jana
Mwaka huu tupo vyema zaidi!
Mna panic bila sababu yyt ile
Kwani mechi za kwanza 10 Man City mwaka jana alifanya nn?
Sisi watu wa ajabu kweli kweli
 
lkn me nna ona kitu cha ziada team yetu haina Captain huyu Henderson hafai kua Captain ana zingua tu

Keita anakuja
Henderson hawezi cheza
Hendo hawezi kiwa DM sababu hawezi hata tackle
We are good
Usi panic kama hawa wengine
 
As a Liverpool Supporter bado ninamatumaini ya kuondoka na Ushindi Game ya Leo lakini kwa Timu hii Mwakani Champion League itabaki Story tu Kuwa Tuliwahi shiriki....
Na Niaminini Kuwa Backline Yetu Hii Ndiyo itakayomfukuzisha Klopp Liverpool...

Klopp as long as unavyozidi Kukumbatia mibeki Mibovu basi ndiyo unakumbatia safari yako ya kutimuliwa..

Pochetino has to go pia
Klopp pia has to go
Koeman lzm kesho nae aondoke

Tuna jadili soka kiajabu kweli kweli!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom