Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijaona contribution yeyote ya Henderson na Lovren kwenye game ya leo...
Hapa bado game hazjachanganya. EPL,UEFa,FA,( ), asee!!!
 
kama kuna mfuasi mwenzangu wa LFC yumo humu anaamini kuna timu inaweza kushinda silverware yoyote ikiwa na defence kama hii yetu, huyo si wa kupimwa akili na mkojo tu bali hata haja kubwa kabisa!
Atakua anawashwa washwa
 
Kila mtu anayaogopa majogoo ama niaje Malafyale!??

Sasa turudi kwenye ligi....Wijnaldum sijui alikuwa wapi juzi..leo kajitahidi kwelikweli.

Ila sasa Mane hayupo sijui itakuaje..shukuruni kuwa ni game za mwanzo walau mnaweza kujitahidi kurudi kwenye top 6 mwisho wa msimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Round ya kwanza UEFA kulikuwa na mechi tatu tu:
Barca vs Juve
Tots vs BVB
Liverpool vs Seville
Hizo mechi zingine sijui
Chelsea na Chakubanga ya Abeidjan
Man U vs Basel
Man C vs Fayenood ni UPUUZI tu
Hawa wa tatu bado hawajacheza CL mwaka huu,wanamme wawili ndiyo wamecheza CL toka EPL hadi sasa
 
Ww umecheza na nani CL jana?
Chakubanga ya Abeizijan?
 
kama kuna mfuasi mwenzangu wa LFC yumo humu anaamini kuna timu inaweza kushinda silverware yoyote ikiwa na defence kama hii yetu, huyo si wa kupimwa akili na mkojo tu bali hata haja kubwa kabisa!

Team ipi ina defense nzuri ambayo haifungwi?
Na wamecheza na nani?
Notion kama Man United akifungwa 2 na Stoke wao bado wana beki nzuri lkn Liverpool 2-2 na Seville basi Liverpool ana beki mbaya ni notion ya ajabu sana!
 
Fimo kakosa penalty
Ndiyo soka sometimes inaenda na bahati!
Liverpool tupo vyema sana tena sana!!
 
Kabla Ya Kuendelea Zaidi Ningependa Kujua Vitu Vieili kutoka Kwako ili nikuquote kulingana na Kiwango chako manake Naona Unasumbuka tu hapa:-

1) Niambie Elimu yako ni ya Kiwango gani
2) Niambie Umeanza Kufutalia EPL kuanzia mwaka gani

Sasa Maswali yangu ni haya:

*Coutinho alileta Barua ya Kuomba Kuruhusiwa kuhama (Transfer Request) Kwa Bodi ya Timu! Lakini alitolewa Jeuri Na FSG Kuwa "LIVERPOOL IS NOT A SELLING CLUB" and "YOU ARE FUC.KIN NOWHERE TO GO"

Sasa Kama Coutinho Ni Mkubwa Kuliko Timu! KWANINI YEYE NDIYO AOMBE KWA TIMU NA WALA TIMU ISIMUBE YEYE?
NA KWANINI TIMU IMTOLEE JEURI NA AKASHINDWA KUFANYA CHOCHOTE BAADA YA KUTOLEWA JEURI?
JE INAWEZEKANA MDOGO KUMTOLEA JEURI MKUBWA WAKE?
SASA MKUBWA NI NANI KATI YA YULE ALIOMBA, AU ALIYEOMBWA AKATOA JEURI?

Nilihitaji Kujua Kiwango chako cha elimu kwasababu Kama Ni Bashite Hitoweza Kunijibu Kitaaluma bali utanijibu Kibashite! Na Kwasababu wewe ni Mtu usiejuilikana nitarajia Majibu Yasiojuilikana ya Kibashite..

Elimu yangu darasa la saba.....aisee ndio nyinyi kidogo tu nina degree ya sociology acha ushamba wa elimu wewe
 
Team ipi ina defense nzuri ambayo haifungwi?
Na wamecheza na nani?
Notion kama Man United akifungwa 2 na Stoke wao bado wana beki nzuri lkn Liverpool 2-2 na Seville basi Liverpool ana beki mbaya ni notion ya ajabu sana!
labda huijui vizuri LFC, na si kosa lako kwani inawezekama umeanza kuishabikia juzi tu.

timu yetu ni timu ya silverware, ni level ya Bayern, R Madrid, Barca.

hii mentality yako ni ya wanazi wa Stoke, Sunderland, West Ham, etc.
 
Huyo kocha wenu sijui mnamwita gropu! hanatimu pale,liverpool imebaki kuwa timu yakwenye jamiiforum tu.
 
Round ya kwanza UEFA kulikuwa na mechi tatu tu:
Barca vs Juve
Tots vs BVB
Liverpool vs Seville
Hizo mechi zingine sijui
Chelsea na Chakubanga ya Abeidjan
Man U vs Basel
Man C vs Fayenood ni UPUUZI tu
Hawa wa tatu bado hawajacheza CL mwaka huu,wanamme wawili ndiyo wamecheza CL toka EPL hadi sasa

Huyo sevilla si ile timu aliyochezea nasri wakatolewa na leicester city champions leag au?
 
Round ya kwanza UEFA kulikuwa na mechi tatu tu:
Barca vs Juve
Tots vs BVB
Liverpool vs Seville
Hizo mechi zingine sijui
Chelsea na Chakubanga ya Abeidjan
Man U vs Basel
Man C vs Fayenood ni UPUUZI tu
Hawa wa tatu bado hawajacheza CL mwaka huu,wanamme wawili ndiyo wamecheza CL toka EPL hadi sasa

Malafyale umepanic lilax mkuu huyo alikula 2-0 kwa kibonde leicester pale england msimu ulioisha wakat leicester city anapambana kutoshuka daraja
Screenshot_20170914-085818.png
 
labda huijui vizuri LFC, na si kosa lako kwani inawezekama umeanza kuishabikia juzi tu.

timu yetu ni timu ya silverware, ni level ya Bayern, R Madrid, Barca.

hii mentality yako ni ya wanazi wa Stoke, Sunderland, West Ham, etc.

Hujajibu hoja!
Juventus kafungwa 3-0 jana nae mbovu?
Soka halichambuliwi kama mchezo wa karata!
Seville kutoka nae sare siyo jambo la ajabu,tungetoka sare na Marbor ndiyo ningekuelewa!

Jmosi tukishinda utakuna hapa kuandika aya ndeeefu kumpongeza Klopp
Nasisitiza tena ktk round ya kwanza CL kulikiwa na mechi tatu tu
Barca vs Juve
Tots vs BVB
Liverpool vs Seville
Zingine zote ni UPUUZI tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom