Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watfod aliyetushinda sisi kashabandikwa 5 kwa 0 huko... Ikisha anatokea Mtu from nowhere anakwambia tuna kikosi cha Kutwaa Ubingwa...

Man City 5 - 0 Liverpool
Watfod 0 - 5 Man City

Watfod 3 - 3 Liverpool

Ukieka Unazi pembeni, Hapo utabaini Kuwa Takwimu Zinaonesha Kumbe uwezo wetu msimu huu ni Sawa na Watfod.. OVER....
Kumbe wewe ni mwanasoka anayejitambua. Siyo kama yule mwenzako malafyale anayeamini Liverpool anatwaa ubigwa kila msimu. Liverpool bila Mane.....haiwezekani.
 
Sababu ya mechi ya 5?
Origi katupeleka CL mwaka jana
Mwaka huu tupo vyema zaidi!
Mna panic bila sababu yyt ile
Kwani mechi za kwanza 10 Man City mwaka jana alifanya nn?
Sisi watu wa ajabu kweli kweli
Mkuu calm down ndiyo ushabiki. Timu ipo vizuri sana. Msimu huu wenu mshindwe tu
 
Kumbe wewe ni mwanasoka anayejitambua. Siyo kama yule mwenzako malafyale anayeamini Liverpool anatwaa ubigwa kila msimu. Liverpool bila Mane.....haiwezekani.

Stats zinapingana na ww!
Watford 3 Liverpool 3 Mane akiwepo!
Liverpool 1 Burnley 1 Mane hayupo
Kwa maana hiyo basi tunafunga hata bila Mane!Au Mane leo angezuia lile bao?
 
[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]
Di Canio explains why Liverpool won't win the Premier League this season

"I am not surprised by their draw against Burnley. Liverpool never learn from their mistakes, they score many goals but they always allow some.

"It’s tragic to see the way they concede goals, a club that has the ambition to win the Premier League title can’t allow certain kind of goals.

"The goal scored by Burnley today is embarrassing. It can happen but then this Liverpool side can't be regarded as a team that can challenge the biggest clubs for the title. It can happen once, it can happen twice, but it can’t happen all the times.

"Under this point of view, Liverpool have not made any improvement under Klopp because they used to allow many goals with Rodgers and the same happens today with Klopp. Liverpool’s defence is not good enough. They are not as bad as Arsenal but they are still far from the best clubs."
 
Totenham 0-Swansea 0
Pochetino has to GO!
Mawazo ya ajabu kweli kweli
kwa hiyo mkuu kwa mawazo yako unamaanisha LFC iko kwenye the same bracket na Tottenham?

sijadhani kama wewe unaijua vizuri LFC.
 
Sababu ya mechi ya 5?
Origi katupeleka CL mwaka jana
Mwaka huu tupo vyema zaidi!
Mna panic bila sababu yyt ile
Kwani mechi za kwanza 10 Man City mwaka jana alifanya nn?
Sisi watu wa ajabu kweli kweli

Mkuu hivi haya mawazo ya Liverpool lengo lake ni kuwa inawania Kucheza Champion League umeyapata wapi?

Hayo ni Malengo ya Arsenal kukamata nafasi ya Pili ikachezw UCL lakini sio liverpool...

Sisi lengo letu ni TROPHY na sio Kushiriki CL...

Sasa wewe Hoja yako ni Kuwa Timu ya Last seasin inacheza CL ridiculous!!!

Tambua kuwa Kuwa Kwa sisi Mashabiki wa Liverpool Tunaoumwa na Timu huwa tunasema "BILA YA TROPHY, KUSHIRIKI CHAMPION LEAGUE NI MEANINGLESS"...

Liverpool si timu ya USHIRIKI bali ni Timu ya TROPHY..

Hata Klopp ashiriki CL miaka 20 mfululizo! Bila ya Trophy kwangu mimi atabakia kuwa ni Nothing na Hafai..
 
Totenham 0- Swansea 0
Poche afukuzwe haraka sana
Soka la ajabu kweli kweli
Mkuu ukianza kutufananisha na tots we are totally losers ... tots was & will NEVER be our level.

Kuna siku utakuja kusema Brighton & hove Albion 2 - Huddersfield town 2 kisa ikitokea tume draw na kitimu kimoja wapo
 
Ilitakiwa tushinde ili tuonekane miamba kwao... Kwa sasa tukubali tu klopp kafeli alianzsha kitu kashindwa kukimalza
kwa kweli wakati mwingine Klopp tunamuonea tu maana jana zaidi ya mashuti 35 na tukapata draw hili sio tatizo la kocha...bila Mane asilimia za ushindi kwetu ni ndogo sana maana hata huyo Coutino jana bado alikua nervous sana...kwa staili hii big four ikifika 2018 May tunaweza kuichungulia.
Kitengo cha makocha wa ulinzi na golkipa yafaa Klopp akifumue chote maana wanazidi kumwangusha kadri mechi wanavyocheza..
 
Conte OUT
Haiwezekani ashindwe mfunga Arsenal kwake wkt nyanya Liverpool alimfunga 4-0
Conte OUT
Klopp OUT
Wenger OUT
Koeman OUT
Ni kazi sana kujadili soka na watu wenye mihemuko!
 
Mkuu hivi haya mawazo ya Liverpool lengo lake ni kuwa inawania Kucheza Champion League umeyapata wapi?

Hayo ni Malengo ya Arsenal kukamata nafasi ya Pili ikachezw UCL lakini sio liverpool...

Sisi lengo letu ni TROPHY na sio Kushiriki CL...

Sasa wewe Hoja yako ni Kuwa Timu ya Last seasin inacheza CL ridiculous!!!

Tambua kuwa Kuwa Kwa sisi Mashabiki wa Liverpool Tunaoumwa na Timu huwa tunasema "BILA YA TROPHY, KUSHIRIKI CHAMPION LEAGUE NI MEANINGLESS"...

Liverpool si timu ya USHIRIKI bali ni Timu ya TROPHY..

Hata Klopp ashiriki CL miaka 20 mfululizo! Bila ya Trophy kwangu mimi atabakia kuwa ni Nothing na Hafai..

Conte OUT
Kashindwa mfunga Arsenal aliyefungwa na mpuuzi Klopp
He has to go
 
Mkuu ukianza kutufananisha na tots we are totally losers ... tots was & will NEVER be our level.

Kuna siku utakuja kusema Brighton & hove Albion 2 - Huddersfield town 2 kisa ikitokea tume draw na kitimu kimoja wapo

Conte kapata sare leo
Nae hafai au?
 
Conte OUT
Kashindwa mfunga Arsenal aliyefungwa na mpuuzi Klopp
He has to go

Unamzungumzia Cote OUT ambae tayari ana One Trophy Kibindoni???? Katu Huwezi Fananisha Almasi (Conte) na Mkaa (Klopp) ukasema ni sawa...

Pia msimu huu tunamaliza Empty Handed! Trust me....

Tupo vizuri zaidi ya mwaka jana
Tuna depth ya kutosha
Worry not mkuu

Mwaka Jana Man City Kwetu aliambulia Point 1 na Goal Difference -1 Kwenye Mechi mbili (H and A)...

Mwaka huu Man City Kashaambulia Points 3 na Goal Difference +5 kwenye Mechi Moja tu (H)....

Yah! Tupo Vizuri Kuliko Mwaka Jana.... Ridiculous!
 
Imagine calling this liverpool ni timu ya trophies , Ten years one trophy.

Sijui timu zinazochukua makombe mawili kwa msimu zitajiitaje
Tena Capital One against Cardiff kwa matuta tena ugomvi huu unatafuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom