Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kadi ya Mane ndiyo turning point ya game!Kabla ya Mand kutolewa hawa tuliisha wabana
Salah alikosa bao la wazi sana na tukawa tunakuja sana
Tuna kikosi imara na kizuri,game ya leo haina maana yyt
Salah kila mechi lazima akose magoli ya wazi,kama Klopp hatabadilika tactical ataendelea kufungwa sana
 
Klopp obviously knew he's gonna lose the game!! and decided to get the key players(Salah and Firminho) out just for the Cl...

Welldone though!!It broke my heart
 
Alexander Anorld( Good boy) but not for big games like this..

We still know Matip still hajapata combination kwny defence.. He looked lost kwenye magoli yote..
Inshort defence ya leo haikuwa na utofaut na ile ya 1st game na Pia ile vs Crystal Palace(ambayo n baada ya goli la bahat)
 
Uzuri timu yetu huwa inawa-prove wrong wanaoitetea kupita kiasi kuwa timu imekamilika ... we are weak as usual

Bila mipango thabiti haya makombe tutaendelea kuyasikia tu kwa majirani

Kuna uwezekano uefa tukapata humiliation kubwa zaidi

Poor klopp
 
This week kama ukichunguza thread.. ndo tulchokua tunakiongelea + MosDef King Ngwaba and others

Mkuu Malafyale i know u'll be against this but its still a fact

Kwamba kila game tutakayokutana na team zenye attacking force nzur.. We"ll end up like this
 
Uzuri timu yetu huwa inawa-prove wrong wanaoitetea kupita kiasi kuwa timu imekamilika ... we are weak as usual

Bila mipango thabiti haya makombe tutaendelea kuyasikia tu kwa majirani

Kuna uwezekano uefa tukapata humiliation kubwa zaidi

Poor klopp
Klopp out
 
4 games.. 2 clean sheets.. But 8 goals conceded

Just Imagine!!!

Game ya arsenal hawakua na shot on target ndo maana ikawa vile(Na tulisema hapa)

Game ya Crystal Palace tultoka vile just because we all know Benteke hamn kitu now!!

I hope hii lose ya leo itawaamsha Henderson and others wote waliolala.. Who cant change the game (at least) for the better
 
SuchA a wack game...
And i'll keep saying.. Henderson is not a leader(Hata akichange vipi i"ll never trust this guy)

Mkuu Nakubaliana na Wewe Kwa 100% kuhusu Hendo Kwani Huu Ndiyo Ukweli Huyu Jamaa Jamaa Sijawahi Kumkubali wala Sitomkubali....

Ukiangalia Goli la Kwanza Utakutia Source ni Yeye Kwani Limetokea Katikati Akiwa Yeye ni Defensive Midfield ameshindwa Kublock Move...

Goli la Pili pia limeanzia Maeneo Hayo ya Kati kabla ya Kupigwa Cross kutoka Kwa Wing ya Kushoto...

Goli la Tatu Pia Limetokea Kupitia Kwenye Eneo la DM na Hendo kashindwa Kublock move...

Goli la 4 & 5 sikuendelea Kutazama...

So Uzembe wa Mabeki wetu unachangiwa sana na Ubovu Wa Hendo Kuwa Hajui Kucheza Tackles wala Kudribble.... Hawezi Kuiunganisha Timu kama Nahodha...

Kiujumla Anashindwa Kuwacover Mabeki wetu kiasi Ya Kwamba Anawaexpose sana..
 
Tatizo la defense pale LFC ni "individual" na siyo collective..

Lovren ni accident waiting to happen..you cant coach him at all..

Magoal mengi tunayofungwa ni kwasababu ya uzembe wa Lovren/Mignolet..

Lovren cant tackle, cant defend on front foot, shit in the air, cant read defensive lines, panick when under pressure, slow and braindead..only good at marking flat-bully Strikers..

We just needed a good/leader/strong CB to partner Matip..

Now Klopp will need to play a full compact football..meaning will have to play counter attacking football ili kuilinda back line yetu but again tunaweza kustruggle dhidi ya team ambazo zita-sit back na kudefend deep (kama crystal palace)..i know tutashinda kwenye games kubwa kwasababu huwa hazi-sit back na kudefend, huwa Zinacheza open-football kama sisi, ndiyo maana inakuwa rahisi kushinda dhidi ya team kubwa (hata kwenye CL, tutashinda a lot of big games). Lakini kama tukiruhusu team ziingie ndani ya box yetu mara kwa mara then Lovren lazima atafanya makosa..Lovren huwa anasababisha tension kwa wenzake ndani ya box kwasababu zisizo za msingi..

But watu wanakwambia Lovren ameimprove baada ya 2 clean Sheet, he's 28 and been at LFC for 3 years, na bado watu wanaona jamaa kaimprove baada ya 2 clean sheets, wakat walitakiwa kujiuliza ni kwanini kila msimu Lovren huwa anakuwa Villain? Na kwanini uwe na need ya kusema a 28 year-old CB, ambaye amenunuliwa for £25m "anaimprove" baada ya kuwepo LFC for 3 years..
Just to remind them that you said this ...
 
Loserpool acheni kulialia na mwamuzi, mkubali tu hamna kikosi kipana cha ushindani. Naamini kuna mengi yanakuja mtakimbia mapema sana jukwaa lenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Tupo Zamani ndani ya Liverpool na Tumeshazoea Haya! Hatuwezi Kukimbia Kwa Kufungwa na Man City...

Kumbuka Mtu Kupigwa na Mkewe haimaanishi Kuwa Anamuogopa..
 
Mkuu Nakubaliana na Wewe Kwa 100% kuhusu Hendo Kwani Huu Ndiyo Ukweli Huyu Jamaa Jamaa Sijawahi Kumkubali wala Sitomkubali....

Ukiangalia Goli la Kwanza Utakutia Source ni Yeye Kwani Limetokea Katikati Akiwa Yeye ni Defensive Midfield ameshindwa Kublock Move...

Goli la Pili pia limeanzia Maeneo Hayo ya Kati kabla ya Kupigwa Cross kutoka Kwa Wing ya Kushoto...

Goli la Tatu Pia Limetokea Kupitia Kwenye Eneo la DM na Hendo kashindwa Kublock move...

Goli la 4 & 5 sikuendelea Kutazama...

So Uzembe wa Mabeki wetu unachangiwa sana na Ubovu Wa Hendo Kuwa Hajui Kucheza Tackles wala Kudribble.... Hawezi Kuiunganisha Timu kama Nahodha...

Kiujumla Anashindwa Kuwacover Mabeki wetu kiasi Ya Kwamba Anawaexpose sana..
Kwanini Klopp asimchezeshe Milner?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadi ya Mane ndiyo turning point ya game!Kabla ya Mand kutolewa hawa tuliisha wabana
Salah alikosa bao la wazi sana na tukawa tunakuja sana
Tuna kikosi imara na kizuri,game ya leo haina maana yyt
And a good learning point especially for Champions League. Kule hakuna mambo ya kispoti spoti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Nakubaliana na Wewe Kwa 100% kuhusu Hendo Kwani Huu Ndiyo Ukweli Huyu Jamaa Jamaa Sijawahi Kumkubali wala Sitomkubali....

Ukiangalia Goli la Kwanza Utakutia Source ni Yeye Kwani Limetokea Katikati Akiwa Yeye ni Defensive Midfield ameshindwa Kublock Move...

Goli la Pili pia limeanzia Maeneo Hayo ya Kati kabla ya Kupigwa Cross kutoka Kwa Wing ya Kushoto...

Goli la Tatu Pia Limetokea Kupitia Kwenye Eneo la DM na Hendo kashindwa Kublock move...

Goli la 4 & 5 sikuendelea Kutazama...

So Uzembe wa Mabeki wetu unachangiwa sana na Ubovu Wa Hendo Kuwa Hajui Kucheza Tackles wala Kudribble.... Hawezi Kuiunganisha Timu kama Nahodha...

Kiujumla Anashindwa Kuwacover Mabeki wetu kiasi Ya Kwamba Anawaexpose sana..
Wakati Rodgers anatakaribia kuchukua ubingwa Henderson ndiye alikuwa DM na tatizo kubwa la Liverpool lilikuwa defence,imepita karibia miaka 5 still bado mna tatizo hilo hilo la defence.Sometimes kocha anatakiwa kubadilisha mfumo ili kupunguza weakness ya timu ndio maana umeona sometimes makocha wanacheza 3CBs lakini Klopp anacheza mfumo uleule akicheza na Stoke,Man City au Chelsea.Pia Klopp aliamua kumuuza Sakho na ameshindwa kutafuta replacement yake msimu wa pili huu.
 
SuchA a wack game...
And i'll keep saying.. Henderson is not a leader(Hata akichange vipi i"ll never trust this guy)

Tuko pamoja mkuu hata akifunga goli la penati fainali sita kaa nimkubali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom