Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

516b56754774df032cb1df8a3a7e533f.jpg
Nataka kurudi Arsenal

jamaa mechi zake mbili za mwisho kala magoli 9
 
Poleni mtaa huu, msiba sii mdogo huu,
Poleni sana waungwana.
 
Loserpool acheni kulialia na mwamuzi, mkubali tu hamna kikosi kipana cha ushindani. Naamini kuna mengi yanakuja mtakimbia mapema sana jukwaa lenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadi ya Mane ndiyo turning point ya game!Kabla ya Mand kutolewa hawa tuliisha wabana
Salah alikosa bao la wazi sana na tukawa tunakuja sana
Tuna kikosi imara na kizuri,game ya leo haina maana yyt
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom