Liverpool wana tatizo la defence miaka mingi kama hulioni ni matatizo yako ndio maana kila mwaka unasema mnachukua ubingwa,katika mechi 4 United amefunga magoli 12 na amefungwa magoli 2 while Liverpool amefunga magoli 8 na kufungwa magoli 8.BR alifungwa magoli 51 lakini kilichomsaidia timu ilifunga magoli 101 kitu ambacho kwa sasa hamuwezi kufunga hayo magoli
Nothing here we didn't expect, I don't think any supporter in his right mind would think we had a shot at the title with the same fu.ckin defense we had last season.
We needed a defensive midfielder and a central defender, neither of these signings came in.
So if we reach top four we need to score no less than a hundred goals.
To win we need a miracle!
coutinho aliyaona haya ndio maana coutinho ni mkubwa kuliko club

Hivi Mane anacheza DM au CB pale Liverpool ?? Maana alipotoka ndio mkafungwa 4, na fans wengi wa humu mnalilia kuwa turning point ya game ilikuwa ni red kwa mchezaji ambaye ni Winger na hausiki kiviiile defensively.
Citizens walikuwa vyema zaidi yenu kwa game ya jana, hiyo ndio sababu ya kipigo.
Full Stop![]()
John Evans ndio alipewa red card Vidic hakucheza hiyo game na kabla hata ya red card United walikuwa wameshafungwa,kikubwa kilichomponza SAF ilipofika dakika ya 80 alianza kuwashambulia Man City na kufunga goli moja akaamini anaweza kuchomoa badala ya kuendelea kucheza defence Man City walifunga magoli matatu kuanzia dakika ya 90-93United alifungwa 6-1 na Man City alipo pata kadi nyekundu Vidic
Chelsea kafungwa 3 alipopata kadi nyekundu Cahil!
Kusema tina defense mbovu mwaka huu sababu ya mechi ya jana sio sahihi!
Ukiwa pungufu kwa dakika karibia 60 kwa team yenye quality kama Man City unategemea nn?
Liverpool tupo sawa sana mwaka huu na game ya jana iliamriwa kwa kadi nyekundu.Period
Ubishi mengine ni ya ukoo. Hatushangai. Cahil alipewa kadi dakika za 37 baada ya hapo tuliogea Magoli 3 za faster na kusema Leo chelsea watapigwa wiki. Tulivyorudi hakika mlikiona kilichotokea. Mechi ilikuwa balance tulivyopata goli 1 hapo ndo watu wakaanza kuziba mikono yao. Kilichofata tukapewa 2nd red card. Then bila uoga kabisa tukaongeza goli la 2. After 9 minutes mpira ukaisha.You wrong again!
Chelsea kutolewa Cahil akala tatu za haraka haraka na trash Burnley
Pep au Wenger au Klopp mpo pungufu toka dakika ya 37 anakupiga easy
Ina maana Chelsea nao wabovu?Burnley anapata hata sare na Chelsea 11 kwa 11?
Turning point ilikuwa kadi ta Mane.Period
Safari hii mtafukuwa sana makaburi ili kupunguza streess na aibu. Kuna mwimbaji moja kaimba za kale zilipendwa. Leteni mengineNa Ndiyomaana Niliwahi Kukwambia Kuwa Ndani Ya Bongo Hakuna Mshabiki Hata Mmoja Wa Chelsea Anaejua Mpira! Na Wala Hakuna Mshabiki Hata Mmoja Wa Chelsea Anaejua Chochote Kinachohusu Chelsea Kabla Ya Kuja Morinho (Before 2004)...
Mkuu 5G nilikuanza wewe na Cha Ajabu Umeshindwa Kuzilipa Sasa unafurahi Kulipiwa na Man City...
Mkuu Mwanamme hahitaji Kupigiwa bali Hupiga Mwenyewe..
View attachment 585545 View attachment 585547
Kumbe Liverpool inamtegemea Mane tu.Defense yetu huwezi ilaumu kwa jana
Team ilicheza vyema sana kabla ya kadi nyekundu ya mtu anayeibeba team!
Man City angepewa kadi nyekundu mtu wao muhimu sana uwanjani Silva wangesalimika?
Mane's red card gave Man City a game.Period
Hata defense angekuwa VVD na Kompany kwa team yenye quality kama Man City mkiwa pungufu mnafungwa
Hongera Malafyale kwa "ushindi mnono" uliopewa na Gardiola. Kwa kusherehekea ushindi huo ulichinja majogoo ngapi?Defense yetu huwezi ilaumu kwa jana
Team ilicheza vyema sana kabla ya kadi nyekundu ya mtu anayeibeba team!
Man City angepewa kadi nyekundu mtu wao muhimu sana uwanjani Silva wangesalimika?
Mane's red card gave Man City a game.Period
Hata defense angekuwa VVD na Kompany kwa team yenye quality kama Man City mkiwa pungufu mnafungwa
Sasa mnachekwa tu? Mmefanya nini?Ahahaha na sisi tulilia miaka 20
Sasa tunacheka tu
Avumilie
Pale ndo game plan ya Klopp ilifia kabisa, Salah nje ilikuwa ngumu 10/ 11 against Man cityYou wrong again!
Chelsea kutolewa Cahil akala tatu za haraka haraka na trash Burnley
Pep au Wenger au Klopp mpo pungufu toka dakika ya 37 anakupiga easy
Ina maana Chelsea nao wabovu?Burnley anapata hata sare na Chelsea 11 kwa 11?
Turning point ilikuwa kadi ta Mane.Period
Hivi Mane anacheza DM au CB pale Liverpool ?? Maana alipotoka ndio mkafungwa 4, na fans wengi wa humu mnalilia kuwa turning point ya game ilikuwa ni red kwa mchezaji ambaye ni Winger na hausiki kiviiile defensively.
![]()
Citizens walikuwa vyema zaidi yenu kwa game ya jana, hiyo ndio sababu ya kipigo.
Full Stop![]()
Hivi Mane anacheza DM au CB pale Liverpool ?? Maana alipotoka ndio mkafungwa 4, na fans wengi wa humu mnalilia kuwa turning point ya game ilikuwa ni red kwa mchezaji ambaye ni Winger na hausiki kiviiile defensively.
![]()
Citizens walikuwa vyema zaidi yenu kwa game ya jana, hiyo ndio sababu ya kipigo.
Full Stop![]()
Ww hustahili kujibiwa
Hujui lolote kuhusu soka
United alifungwa 6-1 na Man City alipo pata kadi nyekundu Vidic
Chelsea kafungwa 3 alipopata kadi nyekundu Cahil!
Kusema tina defense mbovu mwaka huu sababu ya mechi ya jana sio sahihi!
Ukiwa pungufu kwa dakika karibia 60 kwa team yenye quality kama Man City unategemea nn?
Liverpool tupo sawa sana mwaka huu na game ya jana iliamriwa kwa kadi nyekundu.Period
I can be wrong & you can be tooYou wrong again!