Pole aiseee. Epl hii hakuna mwenye hati miliki wa kutofungwa. Ukifunga Leo kesho utafungwa tu. Mkajipange upya bado mna nafasi ya kubeba Ubingwa.......!!!Kadi ya Mane ndiyo turning point ya game!Kabla ya Mand kutolewa hawa tuliisha wabana
Salah alikosa bao la wazi sana na tukawa tunakuja sana
Tuna kikosi imara na kizuri,game ya leo haina maana yyt
Tulieni acheni longolongo mlisema nyie mnafunga timu kubwa tu. Leo sijui imekuajeWakati Rodgers anatakaribia kuchukua ubingwa Henderson ndiye alikuwa DM na tatizo kubwa la Liverpool lilikuwa defence,imepita karibia miaka 5 still bado mna tatizo hilo hilo la defence.Sometimes kocha anatakiwa kubadilisha mfumo ili kupunguza weakness ya timu ndio maana umeona sometimes makocha wanacheza 3CBs lakini Klopp anacheza mfumo uleule akicheza na Stoke,Man City au Chelsea.Pia Klopp aliamua kumuuza Sakho na ameshindwa kutafuta replacement yake msimu wa pili huu.
Kumbe upo mtani
Poleni sana. Naona Leo umenyolewa na maji ya baridi kabisaMkuu Nakubaliana na Wewe Kwa 100% kuhusu Hendo Kwani Huu Ndiyo Ukweli Huyu Jamaa Jamaa Sijawahi Kumkubali wala Sitomkubali....
Ukiangalia Goli la Kwanza Utakutia Source ni Yeye Kwani Limetokea Katikati Akiwa Yeye ni Defensive Midfield ameshindwa Kublock Move...
Goli la Pili pia limeanzia Maeneo Hayo ya Kati kabla ya Kupigwa Cross kutoka Kwa Wing ya Kushoto...
Goli la Tatu Pia Limetokea Kupitia Kwenye Eneo la DM na Hendo kashindwa Kublock move...
Goli la 4 & 5 sikuendelea Kutazama...
So Uzembe wa Mabeki wetu unachangiwa sana na Ubovu Wa Hendo Kuwa Hajui Kucheza Tackles wala Kudribble.... Hawezi Kuiunganisha Timu kama Nahodha...
Kiujumla Anashindwa Kuwacover Mabeki wetu kiasi Ya Kwamba Anawaexpose sana..
Poleni sana. Naona Leo mmenyolewa na maji ya baridi kabisa.Mkuu Nakubaliana na Wewe Kwa 100% kuhusu Hendo Kwani Huu Ndiyo Ukweli Huyu Jamaa Jamaa Sijawahi Kumkubali wala Sitomkubali....
Ukiangalia Goli la Kwanza Utakutia Source ni Yeye Kwani Limetokea Katikati Akiwa Yeye ni Defensive Midfield ameshindwa Kublock Move...
Goli la Pili pia limeanzia Maeneo Hayo ya Kati kabla ya Kupigwa Cross kutoka Kwa Wing ya Kushoto...
Goli la Tatu Pia Limetokea Kupitia Kwenye Eneo la DM na Hendo kashindwa Kublock move...
Goli la 4 & 5 sikuendelea Kutazama...
So Uzembe wa Mabeki wetu unachangiwa sana na Ubovu Wa Hendo Kuwa Hajui Kucheza Tackles wala Kudribble.... Hawezi Kuiunganisha Timu kama Nahodha...
Kiujumla Anashindwa Kuwacover Mabeki wetu kiasi Ya Kwamba Anawaexpose sana..
Ugumu mwengine tunauleta wenyeweLigi ngumu
A terrible mistake kumuuza Sakho. Yule jamaa ana nguvu kweli kweliWakati Rodgers anatakaribia kuchukua ubingwa Henderson ndiye alikuwa DM na tatizo kubwa la Liverpool lilikuwa defence,imepita karibia miaka 5 still bado mna tatizo hilo hilo la defence.Sometimes kocha anatakiwa kubadilisha mfumo ili kupunguza weakness ya timu ndio maana umeona sometimes makocha wanacheza 3CBs lakini Klopp anacheza mfumo uleule akicheza na Stoke,Man City au Chelsea.Pia Klopp aliamua kumuuza Sakho na ameshindwa kutafuta replacement yake msimu wa pili huu.
Na Sisi tumeshindwa kuzuia ushindi wetu, mpaka inakera aiseeUgumu mwengine tunauleta wenyewe
Uzuri timu yetu huwa inawa-prove wrong wanaoitetea kupita kiasi kuwa timu imekamilika ... we are weak as usual
Bila mipango thabiti haya makombe tutaendelea kuyasikia tu kwa majirani
Kuna uwezekano uefa tukapata humiliation kubwa zaidi
Poor klopp
Wakati Rodgers anatakaribia kuchukua ubingwa Henderson ndiye alikuwa DM na tatizo kubwa la Liverpool lilikuwa defence,imepita karibia miaka 5 still bado mna tatizo hilo hilo la defence.Sometimes kocha anatakiwa kubadilisha mfumo ili kupunguza weakness ya timu ndio maana umeona sometimes makocha wanacheza 3CBs lakini Klopp anacheza mfumo uleule akicheza na Stoke,Man City au Chelsea.Pia Klopp aliamua kumuuza Sakho na ameshindwa kutafuta replacement yake msimu wa pili huu.
pole mkuu naona unatia hurumaYou wrong again!
Chelsea kutolewa Cahil akala tatu za haraka haraka na trash Burnley
Pep au Wenger au Klopp mpo pungufu toka dakika ya 37 anakupiga easy
Ina maana Chelsea nao wabovu?Burnley anapata hata sare na Chelsea 11 kwa 11?
Turning point ilikuwa kadi ta Mane.Period
Leo tatizo ni defense?
Team gani haifungwi?
Man U nao tatizo ni defense sababu kagungwa 2?
11-11 Man City hamfungi Liverpool
Liverpool wana tatizo la defence miaka mingi kama hulioni ni matatizo yako ndio maana kila mwaka unasema mnachukua ubingwa,katika mechi 4 United amefunga magoli 12 na amefungwa magoli 2 while Liverpool amefunga magoli 8 na kufungwa magoli 8.BR alifungwa magoli 51 lakini kilichomsaidia timu ilifunga magoli 101 kitu ambacho kwa sasa hamuwezi kufunga hayo magoliLeo tatizo ni defense?
Team gani haifungwi?
Man U nao tatizo ni defense sababu kagungwa 2?
11-11 Man City hamfungi Liverpool