Mkuu nitajie hao madefenders watatu tu...???Mkuu Klopp ni Kocha Mzuri Katika Msuala Mazima Ya Ufundi, Lakini Tukubali Kuwa Ana Ukakasi Katika Masuala Mazima Ya Usajili Kutokana na Falsafa yake...
Barca walipoona wanafeli Kumchukua Coutinho, walimleta alternative wake ambae ni Dembele.
Chelsea Walipoona wanafeli Kumchukua Lukaku, Walimleta alternative wake ambae ni Morata.
Man U walipoona anafeli Kumchukua Griezman, Walimleta alternative wake ambae ni Lukaku..
Kwanini Klopp inapoonekana Wazi Kuwa anafeli Kumchukua VVD, asidhabuni Kwa alternative ya VVD akamleta??
Hapa ndiyo Klopp anapofeli kwenye usajili kwani Haiwezekani Kuwa Beki mwenye Sifa ya Kuichezea Liverpool ni VVD pekee! Kwanini asitoe dau Na kwa mabeki wengine?? Kuna Dozens of Defenders ambao ni Miles away better than our defenders, Kwanini Klopp asiwatie dhabuni na Kuwanunu ili wawe mbadala wa VVD? Lakini kang'ang'an na VVD tu!!!!
Klopp ni Lazima abadilike Mkuu...
Nadhani Hakuna msimu tuliosajiri wachezaji ambao walikuwa kwenye plan na wakatia saini zao Kama msimu huu falsafa zetu kipindi cha BR zilikuwa ngumu sababu ya Ian Ayre sure kwa sasa FSG waliliona ilo wakamwitaji Klopp maana ni mzuri kwenye Tactics na ubora umeongezeka since ametua Anfield nani sasa asiyetaka kufundishwa naye Couth angeondoka Lakini angalia alivyopambanana msimu ulivyoisha kupigania nafasi ya UEFA
Sent using Jamii Forums mobile app[/color]
wampingao klopp wata surrender tyu wenyewe..
2008 klopp aklitokea Mainz na kutia kandarasi kunako dortmund".. alikuta tim haina pesa kwa hiyo hawez kununua top players.
alichokifanya Bwana huyu aliwaambia viongoz na maboss kwa ujumla.. hawa hawa wanatosha atawachukua na kwenye accademy.. ambao ndio hawa kina Reus Lewando Gotze na wengine years later Dortmund hii imevifunika vilabu vingi"...
Tuelewe soko halikua rahisi hata kidogo... Kuna mtu anapenda kulala njaa ili hali chakula kipoo?
you can't win an EPL title with a leaky defence, unless you have a Messi or a Ronaldo on your side who will always help you to outscore your opponents....
I got a chair for you boss
Huwa nahisi our top priority is surviving on epl table not to get a trophy
Gwa kukaja me naona kusema tuna defense nzuri baada ya match 3 tu za EPL tutakuwa tunajidanganya, tusubiri match nyingine zaidi then ndio tutajua we have solid defense au laaah.2 clean sheets from 3 games you call it leaky defense?Ni Man U so far inaishinda Liverpool kwa defense nzuri
Gwa kukaja me naona kusema tuna defense nzuri baada ya match 3 tu za EPL tutakuwa tunajidanganya, tusubiri match nyingine zaidi then ndio tutajua we have solid defense au laaah.
We have 2 clean sheets so far!
Just from 3 games!
Only Man U is ahead of us with 3!
Klopp anajua mpira kuliko sisi wote hapa!
Naona mabadiriko makubwa kwa Lovren
kAJITAHIDI sana kwa VAN DJIIK
Soton hawataki
Tusiharakishe kuchukua mtu sababu tupo desperate
Kama kikoi kile alicho kikuta allikipa CL football sioni ajabu why tusichukue EPL kwa kikosi chetu sasa!
Kumbuka tunacheza bila
Clyne
Lallana
Coutihno
Piga hesabu full squad Liverpool itakuaje?
Hatuzuiliki
kAJITAHIDI sana kwa VAN DJIIK
Soton hawataki
Tusiharakishe kuchukua mtu sababu tupo desperate
Kama kikoi kile alicho kikuta allikipa CL football sioni ajabu why tusichukue EPL kwa kikosi chetu sasa!
Kumbuka tunacheza bila
Clyne
Lallana
Coutihno
Piga hesabu full squad Liverpool itakuaje?
Hatuzuiliki
Bado hujakutana na wababe wako2 clean sheets from 3 games you call it leaky defense?Ni Man U so far inaishinda Liverpool kwa defense nzuri
Bado hujakutana na wababe wako2 clean sheets from 3 games you call it leaky defense?Ni Man U so far inaishinda Liverpool kwa defense nzuri
kwenye hili naona JK kaamua mwenyewe kusokomeza shingo lake kwenye kichinjio.
no silverware or glory come May 2018, he's going to get sucked trust me. those freaking Yankees (FSG) - as we have known them for ages - will always be looking for a fall guy for any and all our failures. JK will be that guy.
so, we seem to be totally f....d.
now what? keep on whinning like a bunch of whores? he'll NO!
let's figure out how JK can be helped.
ungepewa role ya kumshauri JK kuhusu kuimarisha defence yetu kwa kuwatumia akina Levron...ungemshauri afanyeje?
I personally think our defensive woes are a cocktail of personnel mediocrity (40%) on one hand but also an ineffective defending system on the other (this in my opinion accounts for 60% of the problem).
I know JK likes his teams to go gung-ho. he isn't someone to ask his players to do the out-and-out defending - he therefore needs help on this aspect.
thinking outside the silo...goalkeepers have got their own coaches, why the same cannot be adopted on the defending? why can't JK for example utilise the experience of someone like Callagher to be his technical assistant in this area?
defending is more of a mental attribute than physical prowess... remember Martin Skrtel? Callagher would be more than capable of instilling this attribute into the likes of Lovren.
otherwise (unless this JK 's gamble miraculously pays off which I doubt) we have to brace ourselves up for one long heart-jerking, mental-straining and gut-shuttering hell of a season once more!
hao hummels subotic aliwatengeneza mwenyewe
subiri"...
usipojua ulipotoka na ulipo hauezi kujua unapoenda...
vvd angetupeleka level tofaut..hamna cb epl mweny uwezo wa kuplaymake kama vvd. yani kwa uwezo aliokua nao vvd wa kupiga pasi naamin kipind tuna mpira vvd angekua anastep to midfield halaf one of emre or hendo wanamcover maana he is better passer than both of them...
Sent using Jamii Forums mobile app