Team ipi imefunga bao nyingi zaidi EPL?Hehehe mkuu ule ufalme wa mane umeishia wapi? Dah all in all poleni sana
Hata mi nashangaa.. Hivi sababu inaweza ikawa nini?Poleni humu wakuu, hawa Leicester wamenishangaza sana kumbe kuvurunda kote kule walikuwa na usongo na Babu Ranieri!
Hata mi nashangaa.. Hivi sababu inaweza ikawa nini?
Ulisema hamtafungwa tena hadi ligi inaisha pia ukasema Liverpool ndio mabingwa wa EPL msimu huuTeam ipi EPL haitafungwa mechi hizi za mwisho?
Tukifungwa sio sawa kuitukana team
Tukishinda mnajaa hapa kuipongeza team
Tabia za ajabu sana hizi za baadhi ya wana Kop
EPL ni ligi ngumu sana,hizo teams zote a juu yetu zitapoteza games zao
Tuendelee kuiandika vizuri team yetu
Ukichukia nakushauri acha kuandika
Kwa sasa HATUFUNGWI tena
Game with Leicester tunampiga
Vijana wamepumzika vya kutosha!
Jamani mbona tupo kinywa sana!
Leo Chelsea hamfungi Swansea
Tunazidi punguza gap
Haya uliyaandika mwenyewe,sijui ulikuwa unafikiria nini wakati timu yako unaifahamu3-0 saafi
Sipotezi game yyt hadi May
Hata sare hamna
Mane anamfukuza kazi Mzee Wenger Jmosi
Siku Rodgers akipigwa chini, LFC fans watafanya sherehe kubwa sana, yule jamaa ni disgrace kwenye team yetu..
Last seven gamesCOUTINHO>>>Herrera, Mata, Bastian, Carrick, Depay, COMBINED
Timu inaonekana ina discipline sana, kitu kilichokosekana mwaka uliopita. BR anajitahidi kujiendeleza kama kocha mzuri sana.
Pole nduguNaumia sana kuona liverpool inaelekea kua team ndgo
Mediocre team[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Liverpool Mwaka 2017 imecheza jumla ya Michezo 12 (EPL, FA na League Cup).
Katika ya hiyo Michezo 12 tumeshinda 2 tu, na Kumi Hatukushinda...
Magoli tuliyofungwa 16 ni Mengi Kuliko Tuliyofunga 11.
Michezo Tuliyocheza 12 ni mengi Kuliko Magoli Tuliyofunga 11.
Magoli Tuliyofungwa ni Mengi 16 Kuliko Michezo Tuliyocheza 12.
Matokeo yapo hivi:-
↓↓↓
6 defeats
4 draws
2 wins
3 clean sheets
16 goals conceded
11 scored
Simply not good enough.
[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
Kolopu kasawazisha na kaburi kabisaTushakua mediocre, tuende mara ngapi, BR have to go, yeye ndio kaja kuizika kabisa team
Rodgers needs to be sacked kabla hajaua team kabisa..how can you start Lovren katika game kubwa kama hii???