juan de otaru
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 211
- 113
Mkuu mkaushie Tu achana naeHivi wewe ni nini hasa Kinachokupa Ujasiri Wa Kuongea Mbele Ya Mashabiki Wa Liverpool??
Labda Nikuulize Mara Ya Mwisho Wewe Kuifunga Liverpool ilikuwa Mwaka Gani?? Manake mimi Hata Sikumbuki tena.....
