Tulikunywesha 3 sijui 4 hapo chumbani kwako stanford bridgeNa sisi kwa sasa hatuwezi kufungwa na timu yoyote inayowania ubingwa
Mara ngapi ninakunywesha hapo hapo kwako???Tulikunywesha 3 sijui 4 hapo chumbani kwako stanford bridge
Sasa utakuja machinjioni Anfield
Tutakupiga tu
Karibu sanaMara ngapi ninakunywesha hapo hapo kwako???
Subiri uone moto
Acha kuongea kwa kujifuraisha wewe ..unampiga man city moja wakati uko nyumban!! Mimi nilimpiga tatu akiwa kwakee ...upoo!! Ivo ata Toti atakufa tu maake hamna namna sasa. ..Kama ni hivyo Man U hatanifunga mimi tu!! na hata wewe atakufunga! right?
Halafu Katika EPL mimi kukufunga wewe ni ajabu au?
Mkuu mbona Katika top 4 wewe huwa nakudonoa sana tu au umeshasahau?
Kwanza hifazi hii Cimment! Trust me Spurs Anakuja kukuzuia na hutomfunga..
Matokeo yatakua ya aina mbili tu...
1) Aidha Mutadraw...
2) Au Spurs Atakufunga...
Lakini Katu ndani ya White Hart Lane hutoweza Kumfunga Spurs.... Manake Kashaiyona Nafasi Ya Nne indoeleka...
Kama Huamini basi hifadhi hii Post kwa reference za baadae...
Uyo cotinyoo tunamwekea matic tu anamtosha ..sema mwingineeNawataman chelsea afu wanabahat mbay countinho atakuwepo
Mwambie huyo maana yuko kwakwe anacheza kwa kuvizia vizia km mbwa kokoAcha kuongea kwa kujifuraisha wewe ..unampiga man city moja wakati uko nyumban!! Mimi nilimpiga tatu akiwa kwakee ...upoo!! Ivo ata Toti atakufa tu maake hamna namna sasa. ..
Ujiandae na wewe Costa mtoa roho yuko njiani kuja kwako.
Uezi amini kesho Sunderland anawakalisha. BishaaI'm Happy For another Clean Sheet...
Tatizo Lipo Sehemu Moja Tu Katika Kumfukuza Chelsea!
Ni Kwamba Timu Nyengine Zote 18 zilizobakia Hazina Uwezo Wa Kumzuia Chelsea...
Ni Sisi Liverpool Pekee Ndiyo Twenye Uwezo Wa Kumzuia Chelsea..
Point iko hapa! Chelsea Anaongoza Kwa Points 6, Na Liverpool Tunauwezo Wa Kuchukua Tatu Kutoka Kwake Ndani Ya Anfield Hapo January 31... Je Hizo Tatu Zilizobakia Atazuiwa na nani???????
Lets Hope Kwa Man U, Everton and Spurs....
Unasahau vijiushindi vyenu vya 1-0 kibao msimu huu?Acha kuongea kwa kujifuraisha wewe ..unampiga man city moja wakati uko nyumban!! Mimi nilimpiga tatu akiwa kwakee ...upoo!! Ivo ata Toti atakufa tu maake hamna namna sasa. ..
Ujiandae na wewe Costa mtoa roho yuko njiani kuja kwako.
Mmesahau vijiushindi vyenu vya 1-0 kibao dhidi ya timu nyingine msimu huu?Acha kuongea kwa kujifuraisha wewe ..unampiga man city moja wakati uko nyumban!! Mimi nilimpiga tatu akiwa kwakee ...upoo!! Ivo ata Toti atakufa tu maake hamna namna sasa. ..
Ujiandae na wewe Costa mtoa roho yuko njiani kuja kwako.
Kipigoooo,hao wachumbaa.Nawaombea njaa ksho mfungwee na Sunderland ...ili angalau sisi tukishinda kwa Toti kuwe na gap kubwa.. 🙁 🙁 🙁