Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
Haya maneno ya kujiamini mazuri sana. Tusubiri tarehe 31Don't Worry bro.. Leo Tunarudi Kwenye Nafasi Yetu (Ya 2) na tarehe 31 tunampakata Conte....
Haya maneno ya kujiamini mazuri sana. Tusubiri tarehe 31Don't Worry bro.. Leo Tunarudi Kwenye Nafasi Yetu (Ya 2) na tarehe 31 tunampakata Conte....
goli likiingia ndiyo utawaona mbiombio na viuchambuzi uchwaraLeo naona mambo magumu hadi kipindi hiki cha kwanza kina elekea kuisha hapa.
Mkuu hujaelewa. Philosophy ya Klopp ni patience ndo maana hata hawa force wanapanda taratibu tu. Klopp anaamini katika patience zaidi ya force play. Liver imepiga pasi nyingi sana nyuma na kati coz Swansea hawakuwepo ila kule mbele walipo pasi chache sana za maanaLeo naona mambo magumu hadi kipindi hiki cha kwanza kina elekea kuisha hapa.
Mkuu bado unaamini kwenye patienceMkuu hujaelewa. Philosophy ya Klopp ni patience ndo maana hata hawa force wanapanda taratibu tu. Klopp anaamini katika patience zaidi ya force play. Liver imepiga pasi nyingi sana nyuma na kati coz Swansea hawakuwepo ila kule mbele walipo pasi chache sana za maana
Mkuu huku wapo kimya kweli leo.Gooooooooooooal 0-2 weekend imeshanza kuwa nzuri mapema
Wamepata kimoja. Muda si mrefu wataanza kujaMkuu huku wapo kimya kweli leo.
Naona hadi Coutinho katolewa na Sturridge kaingia.Wamepata kimoja. Muda si mrefu wataanza kuja
Hapo kweli waanza kuja kujaWamepata kimoja. Muda si mrefu wataanza kuja
Baada ya kuwa mbili mbili auUwezekano Wa Liver Kushinda Hii Game Ni Mkubwa
Haya sasa tatu - mbiliUwezekano Wa Liver Kushinda Hii Game Ni Mkubwa