Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

EPL the hardest part of the games .... .... .... ... ....... burudikeni ni hiki kibao cha Coldplay basi ... .... .... Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



Get A Head Full Of Dreams now: khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu Hebu Jaribu Kuukubali Ukweli na Achana Na FALSE HOPE....! Ukweli Upo Wazi Kuwa Hatuna Kikosi Cha Ubingwa Bali Tuna Average Team Ya Kucontest Kwa Ajili Ya Top 4 tu....

Mkuu Wakati Mwengine Ukweli Huwa Haukimbiliki ni Kuaccept tu....

Mimi Nahisi Tungelikaza Angalau Tukawemo Katika Hile Top 4 tu Kwa sasa...
Nahisi kama naota ni Wewe uliyeyaandika haya!!!
 
Mwambie Ed n Edd nEddy yeye siyo wa kunifanyia hivi!! Yaani weekend yote ndefu hivi nakula mwenyewe mwambie mim bado nampenda hata km jogoo kamtenda mwambie vitu vidogo tu hivi ndo soka..... Eddy njooooo!!!
Mtani nipo na unipende kweli kweli kipindi hiki maana siku zinakoelekea zinakuwa giza bado tunaitafuta golden sky tu
 
Wale wachambuzi wetu hii wiki naona wamepotea kweli

Hahahaaaaaaaaaa i love this game
 
Press conference ya Jurgen Klopp hiyo kuelekea mechi ya Middlesbrough

Klopp: "As a manager if you concede goals how can you possibly be happy about this? I cannot be part of these discussions in the media."

Klopp: "It's quite difficult to work on free kicks or deflected balls in the defence."

Klopp: "The most important thing is in most of the situations we have we are really good at defending, but there's a lot of work to do."

Klopp: "There's a lot of work to do but not a lot to say because we are on a good way."

Klopp: "Everybody misses Phil, I know this because of the part he has played, but we have to adapt now, we know whatwe need to work on."

Klopp on Karius criticism: "Whatever I say about this would create headlines. You can write whatever you want and we have to work."

Klopp jokes about the title race. "It's decided!".

Klopp: "We are not happy about the last two games but things like this happen, in a few weeks a lot can change in both directions."

Klopp on transfers in January: "The winter transfer market is the most difficult. We are always looking."

Klopp: "Gary Neville is not interested in a Liverpool player I imagine, The Neville brothers don't like Liverpool, there's your headline."

Klopp on Karius: "I have no control or influence over what questions you ask. Whatever I say about him would create headlines, good & bad."

Klopp: "The pundits are former players. Obviously they forget completely how it felt to be criticised."

Klopp: "You can tell Gary Neville that I am not on twitter, so if he wants to tell me something don't do it on Twitter."

Klopp on Karius: "My job is to protect players as much as I can, it's part of our life. We have to work, some things are obvious, some not."

Klopp: "It makes no sense to count the points between you and other teams at this stage of the season. We are in a good way. Lets carry on."

Klopp: If the gap (to the top) is getting bigger, that's our fault. But we don't think about the points to other teams.

Klopp: If you watch our bench, very experienced in defence, not in same way on offence. If situation stays the same we have open eyes.

Klopp: "Marko Grujic in on his way back, with Emre it was a challenge with Divock in training - knee on knee, he is a doubt for Wednesday."

Klopp on Grujic: Tendon injury. He's on his way back, but not back yet.Klopp on Emre Can injury: Ligament... little bit damaged. Doubt for Wednesday, Everton he will be back for sure.

Klopp on Lovren: It was cramp. He wanted to play on. (Doesn't know if he's available for Wednesday)
 
Klopp: "To be a real top-flight team, there is never an easy way. There will always be struggles but we are still in a very good way."
Klopp: "We are not first in the table. We are third. Come on. A lot of teams should feel worse. Everything is good at the moment."
Klopp: "Our expectation is that we are in the top region of the table and that's where we want to be in the decisive part of the season."
 
what i see

LFC problem is not attached to any individual player. It's a collective mental problem
There are a lot of fans who clearly hadn't seen anything of Karius before he came here. This is not the same player as last season.
I remember how bad Mignolet is. That's why everyone wanted him replaced.
Karius was very good at Mainz. This is a big step up. He's clearly nervous, especially with his predecessor still here.
He was voted second best behind Neuer in Germany last season. He's clearly got talent. He needs confidence.
 
Huo Ndio Mtazamo Halisi na Wala sio Kumlaumu Mchezaji Mmoja...

Ukiangalia Gemu Ya Jana Utakutia Wachezaji Walioperform Vizuri ni Wanne!!
1) Mane
2) Lallana
3) Milner
4) Origi

Waliobakia Kwakweli Hawakuwa Na Ubora Wowote bali Walikuwa Wababaishaji tu...

Kwahiyo Tunahitaji Kusajili ili Kuboresha Timu Yetu Kwani Wachezaji Wetu Wengu Ni Average Player na Wala Sio Classic.... Hata Aletwe De Gea Pale Basi Timu still itaendelea Kudraw au Kupoteza Gemu... Kwani Kuna Udhaifu Ndani Ya Timu

Kuhusu Kipa Ni Ukweli Usiofichika Kuwa Anafanya Errors nyingi Sana! Lakini Hata Aekwe Migno ni Same thing....
Kipa Wetu Wote Bado ni Tatizo Kama ni Hivyo Pafanywe Usajili....
hahahaa.............poleni aisee............ila msimu bado mambo yanaweza kubadilika.
 
recovering from that Bournemouth howler..

it was expected..

walk on

Boro gonna be so tough..draw will be just enough..hatuna record nzuri pale river side..

positive thing, ni kwamba we got Everton at home next (MNF)..
 
what i see

LFC problem is not attached to any individual player. It's a collective mental problem
There are a lot of fans who clearly hadn't seen anything of Karius before he came here. This is not the same player as last season.
I remember how bad Mignolet is. That's why everyone wanted him replaced.
Karius was very good at Mainz. This is a big step up. He's clearly nervous, especially with his predecessor still here.
He was voted second best behind Neuer in Germany last season. He's clearly got talent. He needs confidence.

Spot on bro.

2 bad games from Karius and watu wanasahau kabisa how bad Mignolet is..

nimeona Bruce (legend) akiquestion uwepo wa Achterberg pale LFC mpaka sasa..

bruce, GK legend kabisa wa LFC, anasema tatizo ni GK coach, maana anasema mpaka sasa kocha ameshindwa kung'amua kabisa errors za Migs, for 2 years, na anahoji inakuwaje Achterberg bado yupo LFC?

Brad Jones ambaye alikuwa hana utofauti na Migs kwa ubovu, amekuwa Voted kama best GK kwenye league ya Holland.. (see the difference here)..keepers wengi wanaimprove wakiondoka LFC..kina Doni, Gulascis etc..Reina is doing well at Napoli too.. Na hao wote walikuwa coached na Achterberg..
 
when Bobby is off-form, anakuwa m-bovu balaa..

people saying Klopp anatakiwa kumrudisha kati, but kuna games kibao alicheza wide, and he was very good..

he's just off-form now..

glad Mane, ameanza kurudi sasa, he was my MOTM...
 
proven GK bila Good Coach ni kutwanga maji kwenye kinu.

you need to master all the the necessary Goalkeeping techniques to be called a Proven GK.

Ina maana makocha wanaokuja Liverpool hawaruhusiwi kuja na GK coach wao (Rafa,Roy,BR,JK ) wote hawa hawakuja na GK coach,if yes why?
 
.......And Klavan is better than Lovren

hope Lovren is injured till summer..we need to buy a new CB in january..

Lovren cant even start to Man utd rivals this season, West Brom..
 
Ina maana makocha wanaokuja Liverpool hawaruhusiwi kuja na GK coach wao (Rafa,Roy,BR,JK ) wote hawa hawakuja na GK coach,if yes why?

wanaruhusiwa na wana mamlaka ya kubadilisha Coaches na bench la ufundi lote..

Benitez alikuwa na Valero..

hawa vilaza wengine kina Hodgson, Daglish and Rodgers walikuwa na Achterberg..

Klopp kaja kabadilisha kila kitu mpaka medical team, but akaamua kustick na Achterberg.

nahisi jamaa atakuwa ni good motivator kwenye dressing room..ndo maana managers wote wanamkubali..
 
Huo Ndio Mtazamo Halisi na Wala sio Kumlaumu Mchezaji Mmoja...

Ukiangalia Gemu Ya Jana Utakutia Wachezaji Walioperform Vizuri ni Wanne!!
1) Mane
2) Lallana
3) Milner
4) Origi

Waliobakia Kwakweli Hawakuwa Na Ubora Wowote bali Walikuwa Wababaishaji tu...

Kwahiyo Tunahitaji Kusajili ili Kuboresha Timu Yetu Kwani Wachezaji Wetu Wengu Ni Average Player na Wala Sio Classic.... Hata Aletwe De Gea Pale Basi Timu still itaendelea Kudraw au Kupoteza Gemu... Kwani Kuna Udhaifu Ndani Ya Timu

Kuhusu Kipa Ni Ukweli Usiofichika Kuwa Anafanya Errors nyingi Sana! Lakini Hata Aekwe Migno ni Same thing....
Kipa Wetu Wote Bado ni Tatizo Kama ni Hivyo Pafanywe Usajili....
Top 4 inawatosha kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom