Jamaa hampendi Mourinho huyo......timu zake ni zile zilizoko chini ya 10...
Hili ni suala la Coaching. Mignolet is Karius kaanza kupotea kwa kufuata instructions za Archterberg, Klopp can prevent this.
Watching Bundesliga a lot and i can tell you Karius is a vey good goalie.
Kwenye hii coaching ya keeper kuna siku niliona wanatumia some technical za rugby under instruction of Klopp let me hope he can do better in future.
Nimemuona live kidogo sana just 5-6 games akiwa huko.
Let me starting believing as you believe kwa Karius (little faith)nahitaji ani-prove wrong
Huku malivefool mbona kimombo tu. Ina maana wote waingereza ama. Ngoja nirudi kule uswazini kwetu
Nenda jukwaa la madrid angalau hata ile mwangaluka utaikutau kama uko deep nimekukubalisidhan kama kuna shabiki yoyote yule wa football duniani ambaye haujui umuhimu wa GK's Coaches katika game. Sorry bro lakini sikuitegemea aina hii ya post kutoka kwako.
its very clear kuwa Pepe Reina started to struggle baada ya Archterberg kuja LFC, mwaka 2009, from there mpaka Reina anakuja kuondoka LFC, alikuwa kishaisha vibaya mno. Sidhani kama kuna LFC fan ambaye halijui hili.
We paid £11m for Mignolet, hicho ni kiasi kikubwa sana kwa keeper, but tulimchukua kwasababu kukeep clean sheets kwake ilikuwa ni kawaida, tena akiwa katika shit team, Mignolet alikuwa ni keeper mzuri, wapenzi wengi wa EPL watanisaidia kwa hili. But kaja LFC, mwezi mmoja tu baada ya kutrain na Achterberg, Migs akaanza kufanya silly mistakes, kikubwa kilikuwa ni kushindwa kufuata mipira pale inapobidi. Mpaka leo hii, he's not the same keeper ambaye tulikuwa tunamjua.
i knew Karius, na hata kama kuna LFC fans yoyote ambaye anaijua Bundesliga atakwambia kuhusu Lloris Karius, he's decent, good goalie, watu mnao mslate jamaa yawezekana hamjawahi kumuona akicheza kabla.
umemuongelea De Gea hapo, and sadly hujui ni nani ambaye kamfanya De Gea awe hivyo, De Gea tangu yupo ATM alikuwa anafundishwa na Best Coaches, De Gea kapita kwenye mikono ya Emilio Alvarez, De Gea kafundishwa na ERIC STEELE (One of the Best GK's Coach the world has ever seen), Eric Steele ndio kawafundisha kina Peter Schmeicel na Edwin Van Der Sir (unafikiri De Gea kawa vile kwasababu ya talent tu?), kipindi cha Van Gaal tulikuwa kila siku tunaongea humu kuwa De Gea anaiokoa sana Man utd (De Gea alikuwa kwenye peak kubwa sana kwenye reign ya Van Gaal) but unajua nani alikuwa nyuma ya De Gea? Ni FRANK HOEK, nani asiyeijua kazi ya huyu jamaa katika coaching ya GK's? Huwez kuwa garbage kama umepita kwenye mikono ya watu hawa.
Petr Cech ataongelea vipi ubora wake bila kumtaja Lollichon? (he made Petr Cech)
Au huyo Oliver Kahn ataongelea vipi career yake bila kumtaja Andreas Koepke? Atawezaje kumuacha huyu jamaa??
hawa wote ni one of greatest GK's Coaches, na ndio wamewafanya hawa keepers kuwa hivi tunavyowaona.
Keeper lazima ucheze kwa instructions, keeper anafundishwa Positioning, Catching, diving, Footwork, playing crosses, reading the movements kutokea kwenye half ya mpinzani, kukaa kwenye line when it matters, Commanding, playing 1 to 1 (one of De Gea's best strength, every GK ambaye kafundishwa na Eric Steele hii ni moja ya strength yake) etc, its not just a talent. And ukiangalia kwa umakini utajua kuwa Mignolet ni very good Shot-stopper but siyo good Goalkeeper, Goalkeeping inahitaji vitu vingi, na ndo maana kukawa na Coaches.
kwenye football kuna positions TANO ambazo ni lazima ucheze kwa instructions (GK, LCB, RCB, LB, RB, DM) coz these positions are the base of the team.
You dont need a rocket science to know that Archterberg is responsible for Liverpool's Goalkeeping disaster.
and we should learn to SEE the Game, not just WATCH it.
Ahahahaha
Hivi kwanini hakubakia na uraia wa ujerumani?????, kwahizo fixture kumkosa kama hatujapata beki wa maana mbona yatakuwa majanga maana tulikuwa na centre back mmoja tu lovren amekuwa exposed alipo-partner na Lucas ni bora combination ya Klavan - Lucas kuliko ya lucas - lovrenKocha wa Cameron yupo katika jitihada za kumshawishi Matip ajiunge na kikosi chake kwenye mashindano ya AFCON mwakani ikitokea Matip amekubali basi atakosa game 4 za PL against Man u, Swansea, Chelsea and Hull city. Pamoja na semi against Soton na FA 4th round.
Klopp anajua kua alikua ni Mwenye bahati kwa kukutana na Chelsea mapema. Lkn kwa muda hataki kabisa kusikia hbr za Chelsea.Ahahahaha
WHU atakiona cha mtema kuni
Najua umefurahi sana sababu wajua sasa kitakacho kukuta Anfield ni balaa kwako
Ndio matatizo ya kumtegemea mchezaji mmoja......Hivi kwanini hakubakia na uraia wa ujerumani?????, kwahizo fixture kumkosa kama hatujapata beki wa maana mbona yatakuwa majanga maana tulikuwa na centre back mmoja tu lovren amekuwa exposed alipo-partner na Lucas ni bora combination ya Klavan - Lucas kuliko ya lucas - lovren
Wewe nimekupa nafasi ufurahi kwa muda mfupi sana. Vipigo vitaanza tena karibuni. Vikianza nitafute, usiponitafuta, nitamleta Porofesa Manyaunyau akutoe darini utakakojificha.
Hadi January MAJOGOO yatakuwa yanakaribia kuchukua ubingwa wao!Klopp anajua kua alikua ni Mwenye bahati kwa kukutana na Chelsea mapema. Lkn kwa muda hataki kabisa kusikia hbr za Chelsea.
January sio mbali itakua tarehe 31 yani lazima uumie vibaya.
Mheshimiwa Diwani kumbe mpk January?Hadi January MAJOGOO yatakuwa yanakaribia kuchukua ubingwa wao!
Wewe hutoki Anfield
Good analysis MosDef.LOL, we lied to ourselves about Lovren, he was, is and will always be a useless player for LFC.
Anyways, just another bad-patch, you just know for Liverpool fc to be complete lazma tupitie games aina hii kila msimu. Luckly we've got 24 games to make up for yesterdays mess.
Been saying this for ages, we need a Regista in the midfield, Henderson isnt good enough, press him and he panics.
Liverpool's Goalkeepers problem ilianza tangu 2009, since then hatujawahi kuwa na reliable GK, and guess what? The man who ruined one of the best GK liverpool ever had Pepe Reina, was the one who ruined Simon Mignolet, and now he's doing a perfect job in ruining a very young and excellent GK with huge potential, Karius. And Archterbeg is still employed and getting paid na Club. Worst GK's Coach in the football world. Hope Klopp ana-notice hivi vitu, we wont win the league kwa kuwa na average and unskilled people on our bench. We need to change this. Cant keep botling easy titles when it matters. We need to take our chances kabla united hawajapata solution ya matatizo yao. Losing the league to Chelsea/man city is un-acceptable if look at the bigger picture.
And screw, these talks of us buying a Winger/attacking Mid, we need to buy a reliable CB to partner Matip. Lovren anacheza vizuri akiwa na Matip, but a good CB who starts regulary for a Club as big as LFC needs to learn how to stand on his own feet. Liverpool, the club i support is not for Coward players.
we lost 2-0 to Burnley and went 15 games unbeaten afte that, i know we'll bounce back, simply because we have Jurgen Norbet Klopp. The man who made an average Lallana to become one of the most reliable player for our Club. Thats Jurgen.
we go again.
LFC.
Good analysis MosDef.
Can't we just go out there and spend >100M quids on some marquee shot stopper plus one CD? That sort of moolah is too tempting for any club to let pass. Do that and we are at the top end of the pile come May.
Klopp has done a fantastic job to lift the level of the "wannabes" like Lalana, etal. Now time to plug those glaring holes by spending on a couple of marquees for those key positions. That's what all champions do, and I know Klopp is one hell of a freaking champ!
To be honesty me bado nalia na Replacement ya Henderson kwanza ndo tuwaze big 4 Midfielder gani anamtegemea matip kua playmaker lol
nakubaliana na we mkuu,natamani tuwe na viungo bora,creative na wababe kama kile kipindi yupo na maschreno,Alonso na Gerry,sasa hv tuna viungo laini Sana.kuhusu gk nakubaliana na wadau humu kwamba gk coaching Ni problem,nani alikuwa haujui ubora WA Reina,mkumbuke mignolet WA Sunderland,hats huyu dogo Marius Ni mashine ILA sasa wanaokana losers,archterberg hafai.....all in all we are Liverpool...ynwaNiwe Mkweli tu! Tokea Hendo na Lovren Kutuwa Liverpool Sikuwahi Kuwa na Imani Nao Katika Gemu...
Hoja Ya Wengi Kwa Hendo Ni Kuwa Katika Gemu Hupiga Complete Pass na Touch Nyingi!!!!!!! WTF.. Yule Ni Holding Midfielder Tutambue Hilo na Wala si Central Midfielder...
Tunaoweza Kuwaangalia Kwa Performance Za Pass na Touch ni CM Kina Can, Gini na Lallana! na Wala si Hendo...
Angalau Hendo Tumuangalie Performance Yake Katika Kucheza Zile Tackles ikoje???
Kukweli inaniuma Sana Kuona ""WITHOUT MATIP, HENDO IS NOTHING""
Jamaa Anachojua Ni Kutouch Mpira tu na Kupiga Pass Nyingi! Lakini Hile role Yake Ya Msingi Ya Kulinda haijui na hana uwezo Nayo Hata Kidogo... Inafika Pahali Hata Milner anapopanda na Mpira Basi Hendo Anashindwa Kumzibia Nafasi Yake na Kujikuta Milner Yupo Katika Wakati Mgumu Kurudi na Kumfukuza Adui..
He is a Shit Captain Good For Nothing... Siwezi Kukubaliana Na Half back Six isiyoweza Kukaba Hata Wale Average Midfield na Average Foward halafu Nikasema Nimpongeze Kwa Pass na Touch Nyingi...
Lovren Ndiye Msingi Mkuu Kwa Timu Yetu Kuconcede Magoli Mengi Msimu huu..... Yani Hajui Kulinda Wala Kumkaba Adui Hata Kidogo Kiasi Ya Kwamba Anamtegemea Matip Kwa Kila Kitu...
Na Kuhusu Karius na Migno! Basi Kwamimi Ninayemjua Minyi Kwa 98% ya Kila Gemu Ya Liver aliyocheza.... Basi Mtu Hanambii Lolote Kuwa Migno arudishwe Golini... Mfano Mdogo ikumbukeni Gemu ya Arsenal Tuliyowapiga Nne mara hii Migno Alitufanya Nini???
Migni Mistakes Zake Zipo Wazi Na Ni Ngumu Kukubalika...
Mimi Bado Nina imani Na Karius na Naamini Atabadilika...