Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu Hebu Jaribu Kuukubali Ukweli na Achana Na FALSE HOPE....! Ukweli Upo Wazi Kuwa Hatuna Kikosi Cha Ubingwa Bali Tuna Average Team Ya Kucontest Kwa Ajili Ya Top 4 tu....

Mkuu Wakati Mwengine Ukweli Huwa Haukimbiliki ni Kuaccept tu....

Mimi Nahisi Tungelikaza Angalau Tukawemo Katika Hile Top 4 tu Kwa sasa...
Yap it's true....Dirisha dogo sharti kufanya manunuzi...hiki kikosa nao jamaa (klopp) kaanza kuleta utaifa mbele sana kuliko utaalamu.....pia huyu FIRMINO sijui kama ni mbrazil maana utaalam unapungua kila kuchwapo.... yaani tungepata golikeeper kama wa chelshit na manure utd tungekuwa mbali sana hivi sasa......tukubali tukatae kipa ni pazia tu pale yaani hatuna tofauti na manshit daaaaah....!!! JOGOO jamani ananiangusha yaani kaanza kulowa mapemaaaaaa
....
 
2256.jpg

Divock Origi, right, takes advantage of an error by the West Ham goalkeeper, Darren Randolph, to score Liverpool’s second goal.
 
3500.jpg

Randolph looks dejected at the final whistle after keeping West Ham in the game after an amazing save from Henderson.
 
1773.jpg

Bilic celebrates as West Ham take the lead thanks to Antonio
 
Bado hamyaogopi majogoo in somebody voice hongereni kwa point moja ndondondo si chururu
 
EPL the hardest part of the games .... .... .... ... ....... burudikeni ni hiki kibao cha Coldplay basi ... .... .... Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Get A Head Full Of Dreams now: khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa mtazamo wangu, Ufinyu wa kikosi pia unatugharimu, hebu fikiria Firmino alikuwa anaruka ruka tu lakini hata kama kocha angeamua kumtoa, nani angeingia?
mimi nadhani hatuna mtu pale benchi ambae akiingia anaweza kubadili matokeo...
pamoja na ubovu wa kipa wetu na positioning mbovu ya mabeki bado kocha anahitaji kusajili ili kuwa na kikosi kipana...
 
Usimuite firmino muite boooooobyyyyyy

Hahahaaahahahaaaaaaaa i love this game
 
Dah, yaani kuna watu wanatusanifu hapa kwa kupata sare! Je tungefungwa kabisa???

Pamoja na ugumu tunaopitia, tutaibuka tu... Sisi ni Liverpool. YNWA.
 
Kwa mtazamo wangu, Ufinyu wa kikosi pia unatugharimu, hebu fikiria Firmino alikuwa anaruka ruka tu lakini hata kama kocha angeamua kumtoa, nani angeingia?
mimi nadhani hatuna mtu pale benchi ambae akiingia anaweza kubadili matokeo...
pamoja na ubovu wa kipa wetu na positioning mbovu ya mabeki bado kocha anahitaji kusajili ili kuwa na kikosi kipana...

Huo Ndio Mtazamo Halisi na Wala sio Kumlaumu Mchezaji Mmoja...

Ukiangalia Gemu Ya Jana Utakutia Wachezaji Walioperform Vizuri ni Wanne!!
1) Mane
2) Lallana
3) Milner
4) Origi

Waliobakia Kwakweli Hawakuwa Na Ubora Wowote bali Walikuwa Wababaishaji tu...

Kwahiyo Tunahitaji Kusajili ili Kuboresha Timu Yetu Kwani Wachezaji Wetu Wengu Ni Average Player na Wala Sio Classic.... Hata Aletwe De Gea Pale Basi Timu still itaendelea Kudraw au Kupoteza Gemu... Kwani Kuna Udhaifu Ndani Ya Timu

Kuhusu Kipa Ni Ukweli Usiofichika Kuwa Anafanya Errors nyingi Sana! Lakini Hata Aekwe Migno ni Same thing....
Kipa Wetu Wote Bado ni Tatizo Kama ni Hivyo Pafanywe Usajili....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom