Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

wanaruhusiwa na wana mamlaka ya kubadilisha Coaches na bench la ufundi lote..

Benitez alikuwa na Valero..

hawa vilaza wengine kina Hodgson, Daglish and Rodgers walikuwa na Achterberg..

Klopp kaja kabadilisha kila kitu mpaka medical team, but akaamua kustick na Achterberg.

nahisi jamaa atakuwa ni good motivator kwenye dressing room..ndo maana managers wote wanamkubali..


Malafyale doesn't seem to think so!
 
Karius kwenye mbao leo ngoja tuone kama minyolee nae kajirekebisha au vipi
768de3f910505d3b544f9a66fd0e2c55.jpg
 
Ni muda mwingine tena tunakutana kwenye live comentary licha ya kuwa leo sipo kwenye mood nzuri ila ninapoona nembo YNWA macho kodoooo [emoji15][emoji15]...Pamoja tutafika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom