Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Daaaaah... Mbona shida ni ile ile lakini hakuna mabadiliko.... hivi nini shida.....?????
 
Eeh! Naomba Mwenyez Mungu usaidie West ham waongeze goli lingine la 3 na mech iishe na iwe siku mbaya kwa hawa loser fool, amin.!!!
 
Kwa hiki kikosi Ubingwa upo kwenye hati hati ....yaani ni mwendo wa kuunga unga tu....daaaah!!!
 
FULL TIME- LIVERPOOL 2:2 WEST HAM

Draw Siyo mbaya Westham ni timu kubwa na vile kocha wao anataka kutimliwa.....pamoja ..YNWA
 
Wiki mbili zilizopita tulikuwa tunaongoza ligi,
Leo tupo point sita nyuma ya vinara.
Sijajua kama tunarudi kwetu ama lah!.....Lakini mwanzoni mwa Feb tutakuwa tushajua tunakoelekea.

Days are having brighter and darker sides.....Let's cross all sides peacefully knowing we're heading to the better future...........YNWA!
 
Kwa hiki kikosi Ubingwa upo kwenye hati hati ....yaani ni mwendo wa kuunga unga tu....daaaah!!!

Mkuu Hebu Jaribu Kuukubali Ukweli na Achana Na FALSE HOPE....! Ukweli Upo Wazi Kuwa Hatuna Kikosi Cha Ubingwa Bali Tuna Average Team Ya Kucontest Kwa Ajili Ya Top 4 tu....

Mkuu Wakati Mwengine Ukweli Huwa Haukimbiliki ni Kuaccept tu....

Mimi Nahisi Tungelikaza Angalau Tukawemo Katika Hile Top 4 tu Kwa sasa...
 
Chelsea anakamiwa leo, akishinda ni droo,Liver wasituangushe sasa leo
Haaaaaa naona sasa unauguza maumivu hapo ulipo.

Full time chelsea 1 vs 0 West Brom Alb
Liverpool 2 vs 2 West Ham United
chelsea point 37
arsenal 34
liver 31
man city 30
man u 24
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom