Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Waooooooh great walikuwa wananipa wasiwasi hawa boro waiting derby on next Monday God bless our race
 
Malafyale doesn't seem to think so!
Ni keeper Petr Cech tu ambaye mwaka wa kwanza EPL akawa kipa bora
Hata De Gea The Great alichekesha msimu kwa kwanza
Cout yy akaenda hadi kwa mkopo Atletic
Naona sasa mmeanza kuchoka na tugoli twenu twa kuvizia
Jumamosi dhahiri Benteke anawapiga!
Mmeishiwa mafuta!!
 
Clean sheet ya kwanza kama nitakuwa sahihi. Point 3 safi. Kama c uzembe wa game mbili zilizopita tungekuwa pazuri sana.
YNWA

Mkuu Ndiyo Gemu! Ni kweli Karius alitucost Sana Gemu 2 zilizopita, lakini Nayeye pia itamcost zaidi Kwani itamgharimu kwa Kukaa Benchi...

Hata Hivyo Bado Nina Some Hope Kwa Karius Naamini Atajifunza Na Atakomaa! Next Season Tutakuwa na Naye Kama Karius Wa Ujerumani...
 
Ni keeper Petr Cech tu ambaye mwaka wa kwanza EPL akawa kipa bora
Hata De Gea The Great alichekesha msimu kwa kwanza
Cout yy akaenda hadi kwa mkopo Atletic
Naona sasa mmeanza kuchoka na tugoli twenu twa kuvizia
Jumamosi dhahiri Benteke anawapiga!
Mmeishiwa mafuta!!

Only time will tell...two more days to go!
 
Ni keeper Petr Cech tu ambaye mwaka wa kwanza EPL akawa kipa bora
Hata De Gea The Great alichekesha msimu kwa kwanza
Cout yy akaenda hadi kwa mkopo Atletic
Naona sasa mmeanza kuchoka na tugoli twenu twa kuvizia
Jumamosi dhahiri Benteke anawapiga!
Mmeishiwa mafuta!!

De Gea alikuja EPL akiwa na miaka 19 while Karius amekuja EPL akiwa na miaka 23
 
lets be honest..

Migs was V V V good y'day..

Bench has taught him well..

kazicheza mpaka Crosses jana lol..

Migs hatabiriki kabisa..but kama ataendelea kuwepo golini Monday..naomba tu awe katika form ya Jana..
 
Kwa mashabiki wote wa soka tumekutana hapa JF tukibadilishana habari mbalimbali tunapongezana na kutaniana kuhusu timu tunazoshabikia ,now mmoja ya waasisi wa kijiwe chetu ambacho tunakutana hapa anashikiliwa na polisi.Tujitokeze kupaza sauti zetu kulaani huu unyanyasaji anaofanyiwa tusikae kimya kwenye hili tuendelee kupaza sauti kwenye mitandao yote ya kijamii(Facebook,Twitter,Instagram nk ) kulaani unyanyasaji huu.Tutumie hashtag [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom