Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Real Atacheza Winga Ya Kushoto Ya Kuvunja Kutokea Kati Kama Anavyochezeshwa Liverpool.. Bale Atacheza Right Wing... Banzema & Ronaldo Watasimama Kama Mafowards 9 & 10 respectively...
Duh! Cristiano kucheza namba 10!? Hii ndiyo nimeisikia leo...
 
Leo kacheza vyema sana
Nadhani discipline ya Klopp kama hamna mwenye immune ya namba imemuingia
So lzm apiganie namba
Sakho hata LVFC TV huwa simuoni na wenzake akifanya nao mazoezi
Kuna yyt anajua habari za Sakho?
Anafanya mazoezi na under 23 au?
Kuna article moja niliisoma somewhere ingawa sikuithibitisha ilidai hata U23 pia alipigwa stop asicheze kabisa ... nasikia hata kwenye social media siku hizi pia hatoi update
 
Kwahiyo Kwakuwa Man City Kila rekodi Yupo Kevin De Bruyne, Akiondoka Yeye Timu itakufa au??

Ulivyojibu kwa hasira sasa kama tupo jukwaa la siasa...

Eniwei...fact is De Bruyne kwa sasa ndiyo engine ya Man City.

About Henderson, siwezi kuongea sana coz sijafuatilia though ni mchango mkubwa. What I am waiting to see ni January...Mane akiondoka!!!!
 
Anacheza na under 23.Juzi amecheza waliposhinda.
a3160b23d3c95365021105af63da150b.jpg
 
Ulivyojibu kwa hasira sasa kama tupo jukwaa la siasa...

Eniwei...fact is De Bruyne kwa sasa ndiyo engine ya Man City.

About Henderson, siwezi kuongea sana coz sijafuatilia though ni mchango mkubwa. What I am waiting to see ni January...Mane akiondoka!!!!

Sorry Kwa Majibu ya Hovyo..
 
No worries bro.

Really appreciate this!!!

Huu mchezo hauhitaji hasira...ila baada ya kusema hivyo najua majogoo yanamuogopa simba wa blue mechi ya marudiano!!!
Mentor bana, nimekutetea hapo juu halaf unaleta pumba tena?
Haya subiri zamu yenu
 
No worries bro.

Really appreciate this!!!

Huu mchezo hauhitaji hasira...ila baada ya kusema hivyo najua majogoo yanamuogopa simba wa blue mechi ya marudiano!!!

Mimi Nitamuogopa Yule Sunderland ambaye yupo kwenye Relegation Kuliko Chelsea Ambaye Kila Mwaka Lazima Nivunje Daraja.. Na Kibaya Zaidi Getoni Anayekuja Huwa Sipigi Kidogo....
 
No worries bro.

Really appreciate this!!!

Huu mchezo hauhitaji hasira...ila baada ya kusema hivyo najua majogoo yanamuogopa simba wa blue mechi ya marudiano!!!
Hii pumbu ulio mwaga humu katafute wakumlisha maana hamna kuku humu
 
liverpool ni hatari,hadi sasa hivi sijaona kama kuna timu ya kutusimamisha hii speed!hawa watford tumewapiga goli nyingi mechi moja kuliko jumla ya zote walizofungwa katika mechi tano zilizopita.
 
Wakuu, kama kuna mwenye ratiba yote ya mechi za Liverpool katika EPL aniwekee humu aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom