Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa hiyo kutomzidi coutinho ndo hana lolote?
Hivi nani ana magoli mengi kati ya mane na co10??
Magoli kua nayo mangi si hoja hoja ni nani yuko vzr kuliko mwenzake? Coutinho ni bora kuliko huyo Mane na ndio maana Cout anawekewa marking kubwa na timu pinzani. ......

Upo hapo mkuu
 
Mentor bana, nimekutetea hapo juu halaf unaleta pumba tena?
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

Haya subiri zamu yenu

They remain brittle at the back.

Mimi Nitamuogopa Yule Sunderland ambaye yupo kwenye Relegation Kuliko Chelsea Ambaye Kila Mwaka Lazima Nivunje Daraja.. Na Kibaya Zaidi Getoni Anayekuja Huwa Sipigi Kidogo....

With Sadio Mane due to leave for the African Cup of Nations in January,

Hii pumbu ulio mwaga humu katafute wakumlisha maana hamna kuku humu
emoji23.png

Mkuu Nzi umehama timu!????

Kweli Liverpool sio wa kutegemea...heri ungebaki Man utd una uhakika wa kumaliza nafasi ya 8, huku hakutabiriki mkuu! Hawachelewi ku-dab!!!
 
Screenshot_2016-11-08-20-39-33.png

And the No.19 (Sadio Mane) is thrilled to finally count Klopp as his manager - some two-and-a-half years after the German wanted to sign him for Borussia Dortmund.
 
Hana lolote huyo hapo kwenu kuna kale kamtu ka Coutunho tu lkn vingine vyote ni vichekesho tu

A one man show? Possibly hauwangalii Liverpool wakicheza. A joy to watch jinsi wanavyoshirikiana
 
They remain brittle at the back.

With Sadio Mane due to leave for the African Cup of Nations in January,

Mkuu Nzi umehama timu!????

Kweli Liverpool sio wa kutegemea...heri ungebaki Man utd una uhakika wa kumaliza nafasi ya 8, huku hakutabiriki mkuu! Hawachelewi ku-dab!!!

Nzi ninaemjua mimi hawezi akawa na akili pungufu za kahangaika na kupiga kelele kwa litimu lisilo na Premier League, huyu ni INZI sio NZI
 
A one man show? Possibly hauwangalii Liverpool wakicheza. A joy to watch jinsi wanavyoshirikiana
Hana lolote no matter do I watch Liverpool or not!....bado Mane hafiki kwa Phillip....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom