Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo kacheza vyema sana
Nadhani discipline ya Klopp kama hamna mwenye immune ya namba imemuingia
So lzm apiganie namba
Sakho hata LVFC TV huwa simuoni na wenzake akifanya nao mazoezi
Kuna yyt anajua habari za Sakho?
Anafanya mazoezi na under 23 au?

Sacko Baada Ya Kukataa Kutolewa Kwa Mkopo Amekosa Trust Kwa Klopp Na Amepelekwa Kwenye Kikosi Cha Under 23 ambako Yuko Pamoja na Danny Ings kule.. Na Muda wowote Atauzwa Huyu Jamaa.
 
Hongereni...! I guess that position will be decided tutakapokutana mwakani!!!

Enjoy while it lasts...soon, mta-dab tu.


View attachment 430263
Wewe tulishakushikisha adabu.... Kwahiyo ukiingia humu uwe na heshima.... Juzi mlishinda 5 ukashangilia hadi MMU😀😀😀hapo kileleni ni patamu balaa.... Sasa Hivi tunawaangalia kwa side mirror 🙂
 
Afu Balo kamwambia eti amfate Nice huko....ufaransa nako kuna ligi?

Bora Hata Amfate Balo Huko Ufaransa Nina Madifender Wanne wasiwasi wa nini?

1) Matip

2) Lucas

3) Lovren

4) Klavan

Na Kuna dogo Yule Trent Alexander Anorld Pia Tunamuibua Sasa Hata Next Season Atakuwa Right/Centre Central defender Kamili..
 
images
 
#Hendo Touch.png


↑↑ Kama Kawaida Hendo Ameendelea Kutisha Ndani Ya EPL kwa Kuwa Na Touch Nyingi Kuliko Midfielder au Mchezaji Mwengine Yeyote Yule

#Hendo Pass.png


↑↑ Pia Hendo Ameendelea Kushika Nafasi Yake Ya Kuwa Ni Mchezaji Aliyepiga Complete Passes Kuliko Mchezaji Yoyote Yule Ndani Ya EPL
 
Pia Captain Hendo Hakuwa Mbali Katika Kucheza Zile Tackles Dhidi Ya Shambulizi la Adui Kwani Amecheza Tackles 47 akiwa sawa na Daniel Drinkwater Wa Lesta.

#Hendo Tackles.png
 
Kwa Upande Wa Assists Pia Liverpool Ipo Vizuri Kwa Wachezaji Wake 2 Fundi Coutinho na Lallana Wakiwa Wametengeneza Assists 5 kwa Kila Mmoja Nyuma Ya Kevin De Bruyne Wa MCI mwenye Assists 6.


#Cout & Lallana Assist.png
 
natafta whatsapp group la Liverpool Fans lolote jamani mtu aniunganishe
 
Liverpool Ndiyo Timu inayoongoza Kufunga Magoli Mengi Kwenyewe EPL mpaka Muda huu wa Msimu wa 2016/17 ikiwa Imeshafunga Magoli 30 ambayo Hakuna Timu Nyengine Mpaka sasa iliyotimiza Magoli 30.


#Liver Goals.png
 
Pia Liverpool Ni Timu inayoongoza Kulilenga Lango La Wapinzani Wao Mara Nyingi Zaidi Wakiwa Wamepiga Mashuti 210 ambayo idadi Hiyo Haijafikiwa na Timu yoyote hile..

#Liver Shots.png
 
#Liver Touches.png


Pia Performance Ya Liverpool Kwa Ujumla Ni Nzuri Katika Uchezaji na Umiliki Wa Mpira ikiwa Nyuma Ya MCI kwa Asilimia Chache Sana...

#Liver Passes.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom