Hatuna group. Ni hapahapanatafta whatsapp group la Liverpool Fans lolote jamani mtu aniunganishe
View attachment 430409
↑↑ Kama Kawaida Hendo Ameendelea Kutisha Ndani Ya EPL kwa Kuwa Na Touch Nyingi Kuliko Midfielder au Mchezaji Mwengine Yeyote Yule
View attachment 430415
↑↑ Pia Hendo Ameendelea Kushika Nafasi Yake Ya Kuwa Ni Mchezaji Aliyepiga Complete Passes Kuliko Mchezaji Yoyote Yule Ndani Ya EPL
Hapa pia nizaidi ya group mkuunatafta whatsapp group la Liverpool Fans lolote jamani mtu aniunganishe
Hapa pia nizaidi ya group mkuu
Siyo hao tu kuna Barcelona wao ndo wapo muda mrefu tangu wamemchukua Suarez walitaka na Coutinho ili wawe na total package, Madrid wameibuka recently na wana na PSG Unai Emery anataka kutengeneza timu yake kuna watu anataka kuwaondoa paleHizi tetesi za REAL MADRID Kumtaka COUTINHO zinaanza kuumiza vichwa tena maana Wabrazil wakishaanza kutakiwa na ZILE TIMU MBILI ZA SPAIN wanaanza kuzingua...
Inasemekana wapo tayari kutoa Paundi milioni 25 + JAMES
Siyo hao tu kuna Barcelona wao ndo wapo muda mrefu tangu wamemchukua Suarez walitaka na Coutinho ili wawe na total package, Madrid wameibuka recently na wana na PSG Unai Emery anataka kutengeneza timu yake kuna watu anataka kuwaondoa pale
Kwa madrid kutupa hiyo hela na James hapana aisee, James ni mtu wa kutokea katikati ya uwanja ambapo kwa uchezaji wa Liverpool utakuwa mgumu kwake. Kama Madrid wana mtaka kweli Coutinho( na kwa sasa hatuna mchezaji mwenye guts za kuzikataa elite European clubs tulikuwa na Gerrard tu ambaye aliitolea nje Madrid) walete 30M na Isco tu
Hapo anajua zaidi Zidane anae mtaka ila anaweza cheza nyuma ya BBC akiwa na modricPale Madrid anacheza position gani? Kuna CR7, Bale, Modric, Benz
Kama ni PSG basi ni football suicide manake Ligue 1 hamna kitu hapo
Labda Barca ndio kutamfaa
I believe atamaliza season yake LFC
Season ikiisha akitaka kuondoka tunamtakia safari njema huko aendako
It was great to have him in LFC shirt
Pale Madrid anacheza position gani? Kuna CR7, Bale, Modric, Benz
Kama ni PSG basi ni football suicide manake Ligue 1 hamna kitu hapo
Labda Barca ndio kutamfaa
I believe atamaliza season yake LFC
Season ikiisha akitaka kuondoka tunamtakia safari njema huko aendako
It was great to have him in LFC shirt
King Ngwaba ,
Kwa kuangalia lists ulizoweka, ni sahihi kusema bila Henderson Liverpool imekufa?
Maana katika zote, top ten yupo mchezaji mmoja tu wa Liverpool. [HASHTAG]#beWorried[/HASHTAG]
Duu mkuu una hoja ila umemjibu kwa jazba sana huyu mdau Mentor , huyu mdau anaheshima zake jamvini japo yeye ni shabiki wa ChelsickKwahiyo Kwakuwa Man City Kila rekodi Yupo Kevin De Bruyne, Akiondoka Yeye Timu itakufa au??
Je, Kwenye Goal Scorers Yupo Hapo Henderson??
Sasa ukitoa Goli lake Moja Alilofunga Siku Ya Chelsea! Hayo 29 tuliyofunga Kafunga Nani??
Kwenye Assists Yupo Hapo Henderson??
Sasa Hizo Assists Za Magoli 26 (ukiachana na 4 ya penalties) KaAssist Nani??
Kwenye Shots Yupo Hapo Henderson???
Sasa Hayo Mashuti 210 ya Liverpool Kapiga nani??
Wacha Kuquote Post Za Watu Kipumbapumba....
By thr way! Wacha Nikupuuze..
Duu mkuu una hoja ila umemjibu kwa jazba sana huyu mdau Mentor , huyu mdau anaheshima zake jamvini japo yeye ni shabiki wa Chelsick