Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

17ffcc83878c183c201cf99bdcaf2b3d.jpg


najua hauna muda wa kusoma gazeti zima japo soma hio mistari minne tu ya mwanzo. Asante




Wazee wa historia, naona mnawafundisha na Man utd hii tabia!
 
Hana lolote no matter do I watch Liverpool or not!....bado Mane hafiki kwa Phillip....

Philippe Coutinho and Sadio Mané have created 14 chances between themselves in the PL this season; the most of any duo.
 
Wazee wa historia, naona mnawafundisha na Man utd hii tabia!
Pole sana maana waitamani sana hiyo historia. Yan wewe na klabu yako kamwe... kamwe ... hamwezi kuwa na historia wala kutengeneza historia kama hiyo.
 
Hana lolote huyo hapo kwenu kuna kale kamtu ka Coutunho tu lkn vingine vyote ni vichekesho tu
Surprising ni vichekesho kuongoza ligi.Timu zingine nazo zitaanza kugombania kuwa vichekesho.

Comment zingine ni totally anti-football.Sio kila kitu lazima ubishe tuu kuna vitu vya msingi sometimes tukubaliane bila ubishi.Kuna facts ukizibishia ubaonekana kama kichaa tu.Eti kwakuwa mi si mshabiki wa chelsea basi nisitanbue ubora wa Kante kama defensive midfielder

Huo ni ushabiki wa kitoto,mtaani kwetu huku zamani tulikuwa tunaita ushabiki maandazi.Hauna nafasi hapa kwenye jukwaa la wastaarabu wa mpira.
 
Brazil 1 Argentina 0
Dakika ya 40
Mfalme Coutihno anamfunika Neymar hapa
Kwa hii perfomance sidhani kama huyu kijana Summer mwakani atabaki
Tuanze tu kumtengeneza Grujic aisee
Ndo mtihani unapoanza kwa Klopp na Liverpool huyu mtoto amelelewa amekua mkubwa matajiri wanakuja kuchokonoa aondoke, wamsainishe mkataba mpya ili akiondoka tupige hela ndefu maana hamna namna.
 
Hili Goli Argentina Hawatolisahau Kwani Ni Adhabu Waliyopewa Na Coutinho..
😀😀😀
 

Attachments

Huyu dogo kwa goli hili huko spain wameshaanza vurugu madrid n barca
 
Ndo mtihani unapoanza kwa Klopp na Liverpool huyu mtoto amelelewa amekua mkubwa matajiri wanakuja kuchokonoa aondoke, wamsainishe mkataba mpya ili akiondoka tupige hela ndefu maana hamna namna.
Halafu kumbuka tunamlipa hela MBUZI sana kwa week
Mpuuzi kama Raheem Sterling anamzidi "Rey"(kama anavyoitwa akiwa kwao Jeneiro ikiwa na maana ya MFALME) zaidi ya mara mbili ya mshahara!Coutihno analipwa Pound 80,000 tu kwa week
 
Halafu kumbuka tunamlipa hela MBUZI sana kwa week
Mpuuzi kama Raheem Sterling anamzidi "Rey"(kama anavyoitwa akiwa kwao Jeneiro ikiwa na maana ya MFALME) zaidi ya mara mbili ya mshahara!Coutihno analipwa Pound 80,000 tu kwa week

Kwa Mishahara Ya Siku Hizi Huyu Cout anastahiki Alipwe £250,000 per week..
 
Barret saying we're scouting Sardar Azmoun, Klopp alisema atahitaji kusajili baadhi ya wachezaji January, kwasababu ya Mane kwenda AFCON na Majeruhi ya Ings. I guess Klopp anaweza akawa anamfikiria Azmoun kama Replacement ya Ings kwa hii January, BUT to be honest Azmoun is not good enough, though Klopp anaamini katika kuimprove players, but kuna wengine wapo zaidi ya Azmoun. Heard we're also scouting Boca's Cristian Pavón, huyu ndo anafaa, na itakuwa ni good move kwa upande wa valuation. Kati ya Azmoun na Pavón, no doubt kuwa Pavón ni mzuri zaidi, really talented as well.

I'd take Pavón.

We need wingers (kucover eneo la Mane) and Klopp wants Pulisic, but cant see Pulisic moving january hii, unless kuwe na massive offer, wote tunamjua Klopp huwa hasign ilimradi tu, kama atakosa winger anayemtaka, anaweza akasubiri mpaka summer. Kwenye game ya Watford niliona akimjaribu Wijnaldum kwenye ile advanced role, so kama ataamua kucheza na Wijnaldum katika advanced role hiyo January, tunatakiwa kuombea Hendo na Can wasiumie. Gini can play very well kwenye eneo la kushoto (tatizo litakuwa ni pace tu, but kuhusu Goals, Gini ni "King of Tap-ins", akikaa kwenye advanced role muda wote anakuwa ndani ya box la adui (kama akiwa hana mpira), tuliona kwenye game ya Watford na alifunga pia) pia we can play Origi kwenye hilo eneo, and most of all we need to Keep Daniel Sturridge fit, ni asset kubwa sana kuanzia January (ligi ikianza kuchanganya).

Inaonekana tutajaribu kusign two attackers in January, and Dahoud pia. Suala la Klopp kuendelea kumng'ang'ania Dahoud inaonesha kuwa bado hajamkubali Henderson. Kuhusu LB nahisi itakuwa mpaka Summer.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom