Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Timu ipo vizuri sana good performance, quick feet tupo kwenye situation nzuri zaidi ila my worries ni hizi international games wachezaji wetu wanaenda kutumika kweli huko kwenye nchi zao.

Kuifunga Watford ni dalili nzuri ya kudeal na timu ndogo za kwenye ligi na kwasasa hatuna timu yeyote kubwa mbele yetu karibuni ndo wakati mzuri wakuchukua points wakati wenzetu wana loss points.

Coutinho alichopewa na Klopp(freedom to roam around the final third) msimu huu basi aendelee kumpa hicho hicho maana kazi anayoifanya pale ni kubwa sana inaonekana Klopp anataka wale trio mbele ndo wachezeshe timu when they are attacking kuna movement flani Can alimuachia mpira Coutinho

Lallana ni wa moto BR alikuwa anaenda kuua vipaji vya wengi sana pale Melwood Lallana na Coutinho walishacheza kama wingback hahahahahahaha ila lallana yupo kwenye form nzuri ila shida ni pale atakapoenda kwenye timu ya taifa.

Hivi mlishajiuliza siku ikatokea Clyne akaumia miezi mi2 akawa nje any replacement???

Studge ana kazi sana ku-earn pot kwenye first eleven maana Coutinho, Mane na Firmino wanacheza unselfish pale mbele na wana interchange sana ndo maana tuliona Mane goal lake la pili was a tap in na cross alitoa Firmino

Ejaria ni young ila anapata exposure ya ukweli sana itabidi ajiongezee mwili na staminar maana kuna kila dalili za Coutinho kwenda Barca

Gini has registered his first Liverpool goal today huyu mtu anafanya kazi kama enzyme hahahahhhaha anabreak opposing side

Can ana provide physicality kwenye midfield yetu na pace

Timu performance leo ni 10 stars
 
Safiii
 
Studge ana kazi sana ku-earn pot kwenye first eleven maana Coutinho, Mane na Firmino wanacheza unselfish pale mbele na wana interchange sana

Anaweza ku-earn pot sababu january tutamkosa Mane for 3 or 4 games nadhani hata akirudi atakuwa hayupo kwenye form so anaweza akawa anatokea bench, nahisi ndiyo kipindi ambacho ST ata-shine
 
1478456464519.png
1478456512303.png
 
Labda Origi awe ameumia ndo Stuge a.k.a mavugo ndo atapata namba jamaa harudi kusaidia defense leo umeona Firmino Mane na Coutinho wamefanya/wamewin ball kwenye goal letu leo?

Mane akiondoka ile trio upfront ataingia lallana kwenye wing then Henderson, Can na Gini watakuwa kwenye midfield
 
Hapo Mkuu Umeona Kama Nilivyoona Mimi!! Nilifikiria Kuwa Akiondoka Mane basi Lallana Aende Winga Ya Kulia (Amreplace Mane) ili iwe Lallana-Fami-Cout badala ya Mane-Fami-Cout...
Na Kati iwe Hendo-Can-Gini badala ya Hendo-Can-Lallana...

Lakini Sidhani Kama Klopp Atafanya Hivyo..
Ni wazi Kuwa itakuwa DS-Fami-Cout..
Na Kati itakuwa Kama Kawa Hendo-Can-Lallana...
 
About Karius:
Mimi Karata Yangu Ninaicheza Kwa Kumpa Msimu Huu Mzima Wa Kujiweka Fiti tu Na Kumuhesabu Sasahivi Kuwa Yupo Katika Kipindi Cha Mpito (Transitional Period) Cha Kugain Confidence and Experience Huyu Kipa Tishio Mtarajiwa....

Ni ukweli Usiofichika Kuwa Msimu Ujao Huyu Kipa Atakua Tishio Kwa Dunia Kwani Ni Neure Mpya na Hana Tofauti Naye...

Kwasasahivi au Kwa Msimu Huu Anahitaji Mechi Nyingi Zaidi ili Akomae Na Kulizoea Goli..
 
Man of the match or men of the match
 
Attachments

  • Screenshot_2016-11-06-21-55-13_1.jpg
    Screenshot_2016-11-06-21-55-13_1.jpg
    35.9 KB · Views: 37
Man of the match or men of the match

Ni sawa! Hapo Hakutumia Plural Kwasababu Alichokusudia ni Wachezaji Wote 11 Kuwakilisha Mtu mmoja Kama Mchezaji Bora Wa Mchezo.... (Man of the Match).....
 
Ninakubaliana Na Captain Wetu Kuwa Hata Kama Tumeshinda 6 ukweli ni Kwamba Ndiyo Kwanza Bado Hatujafanya lolote! Bila Ya Kombe Hapana Furaha Kwani Hatujafikia Malengo.... Lamaana Litaonekana Pale Tutakaponyanyua Kombe...

Screenshot_2016-11-06-21-59-30.png
 
Hivi Wakuu Hapa Pana Ubishi Wowote Nikisema Kuwa Msimamo Tayari Umeshajipanga na Kila Mtu Hapa Kashakaa Kwenye Nafasi Yake?

Amini usiamini Hivi Ndiyo Ligi itakavyomalizika Kama Unavouona Huo Msimamo..

Screenshot_2016-11-06-22-10-15.png
 
Klopp’s Liverpool making sweet, sweet music

Jurgen Klopp’s description of his style of play as “heavy metal football” during his time as Borussia Dortmund manager is one of his most famous quotes, even if he has partially disowned it. What is often forgotten is that it was a two-part quip, made in the same breath as likening Arsene Wenger’s Arsenal to an orchestra. At Liverpool, somehow, he has achieved the feat of blending the two styles and it has taken them top of the Premier League.
When you watch Liverpool demolishing Watford 6-1, with Daniel Sturridge rushing around even in injury time trying to desperately get a goal and pile on the pain, you can identify the relentless tempo and hard work which made Dortmund one of the most feared teams in Europe during Klopp’s reign. But Liverpool are also capable of playing with the synchronicity and beauty of Arsenal at their best, particularly with the magical Philippe Countinho conducting an orchestra which is getting contributions from all its sections. Coutinho, Roberto Firmino and Sadio Mane were exemplary again, elevating Liverpool’s football to a level which makes them real contenders for the title.
ESPN
 
Hongereni...! I guess that position will be decided tutakapokutana mwakani!!!

Enjoy while it lasts...soon, mta-dab tu.

upload_2016-11-6_13-24-57.jpeg
 
Hongereni...! I guess that position will be decided tutakapokutana mwakani!!!

Enjoy while it lasts...soon, mta-dab tu.

View attachment 430263
Ndugu yangu Mentor hata ww wajua Majogoo ni level nyingine kabisa
Kwa wachezaji kama Victor Mosses utafanywa tu kama hawa akina Watford,akina Hull na akina Leicester
Bila bao 4+ hutoki Anfield!
Beki tegemeo Luiz?Come on Amigo!!
 
Anaweza ku-earn pot sababu january tutamkosa Mane for 3 or 4 games nadhani hata akirudi atakuwa hayupo kwenye form so anaweza akawa anatokea bench, nahisi ndiyo kipindi ambacho ST ata-shine
Leo kacheza vyema sana
Nadhani discipline ya Klopp kama hamna mwenye immune ya namba imemuingia
So lzm apiganie namba
Sakho hata LVFC TV huwa simuoni na wenzake akifanya nao mazoezi
Kuna yyt anajua habari za Sakho?
Anafanya mazoezi na under 23 au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom