Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama Kawa Coutinho leo ni "Man of the Match".. 1 Goal and 1 assist.. Huyu Jama kwakweli Kuna Ulazima Wa Kumpa Mkataba Mnono! Venginevyo Real na Berca Watapiga Hodi Anfield kwa Mara Nyengine Kama Kina MacCmanaman, Owen, Alonso, Mascherano and Suarez...
 
Kwa Maoni Yangu Binafsi Nahiari Acheze Klavan Kuliko Lucus! Kwasababu Lucus Anapenda Kucheza Faulo Za Kipumbavu ndani Ya Penalt Area.... Kwahiyo si rahisi Mechi Kuisha Asipigishe Penalt au Atafungisha Goli Kwa Njia Yoyote hile Kama Alivyofanya Siku ya Lesta na Siku ya Spurs..

Mkuu vipi bado una wasiwasi na performance ya Lucas???
 
Round hii ya kwanza tumebaki na mechi ngumu 2(Everton na Man City) tukishinda hizi ninaimani tutakuwa na 80% ya kubeba ndoo.
Hao tutawachapa tu ndugu yangu...kwa sasa team spirit ipo vizuri sana!
 
Can Naye Anazidi Kujiotesha Mizizi Sehemu Ya Midfield Kwa Kucheza Hule Mpira Halisi Wa Kijerumani (Bundesliga ya kina Lothar Matheus) Jambo Ambalo Linatuonesha Wazi Kuwa Sasa Ndiye Midfield Ya 1st Choice Kutokana Na Uwezo Wake Wa Kumiliki Mpira, Kuchezesha Timu, Kasi ya Kukimbia na Mpira, Kushambulia na Kuweza Kufunga.....
Hii ni changamoto Kwa Gini na itambidi Azidishe Mazoezi Kwani Kwasasa Kumueka Juu Can si jambo rahisi..
 
Mkuu vipi bado una wasiwasi na performance ya Lucas???

Mkuu Sikuwa na wasiwasi na wala sitokuwa na wasiwasi Wa Performance Ya Lucus, Bali Nilikuwa Na Wasiwasi Na Tatizo lake la Kupenda Kucheza Foulo Ndani ya Boksi Kama Macherano vile..
Lakini leo Naona Kajirekebisha! Tena Ningependa Gemu ijayo Apangwe yeye Kuliko Lovren asiyejua Kucheza Kross Kwa Kichwa...

Lucas leo Kaperform Vizuri Sana! Sina doubt naye hata 0.0012%...
 
Can Naye Anazidi Kujiotesha Mizizi Sehemu Ya Midfield Kwa Kucheza Hule Mpira Halisi Wa Kijerumani (Bundesliga ya kina Lothar Matheus) Jambo Ambalo Linatuonesha Wazi Kuwa Sasa Ndiye Midfield Ya 1st Choice Kutokana Na Uwezo Wake Wa Kumiliki Mpira, Kuchezesha Timu, Kasi ya Kukimbia na Mpira, Kushambulia na Kuweza Kufunga.....
Hii ni changamoto Kwa Gini na itambidi Azidishe Mazoezi Kwani Kwasasa Kumueka Juu Can si jambo rahisi..
Tulikua na long discussion about this, nadhani utakua umeona tulichokua tunaongelea...wijnaldum waku interchange nae ni lallana...Can akiwa fully fit ni ngumu kumuacha first 11 ana cover to many roles
 
Vijana wanatupa raha sana.
Pia nimemuelewa Klop kumchagua Karius Number 1 namuona kila anapozidi kucheza ana imarika sana, tofauti na Mignolet mabadiliko yalikuwa hakuna nazani ameshadumaa yule.
Asante sana vijana kwa starehe mnayotupatia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom