Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

H
Hahahaha kila mtu ana namna yake ya kujifariji. Arsenal tunajifariji kwa kutokukosa top 4, nyie mnajifariji kwa kutoipata top 4 as the result mnafukuzana. Kama unaweza kuitafuta ndoo ya UCL kwa mara ya 6 kwa kumaliza top 8 be my guest.
IV arsenal SI mna Uzi wenu,huku umeweka kambi kutafuta nn,jamani tumpotezeeni na hakuna kahangaika nae
 
Hahahaha kila mtu ana namna yake ya kujifariji. Arsenal tunajifariji kwa kutokukosa top 4, nyie mnajifariji kwa kutoipata top 4 as the result mnafukuzana. Kama unaweza kuitafuta ndoo ya UCL kwa mara ya 6 kwa kumaliza top 8 be my guest.
kumaliza no. 4 na kushiriki UCL bila kushinda kikombe tofauti yako na aliyemaliza no. 8 ni kuwa 'wewe ulikuwa bize kusafiri'
 
Hahahaha kila mtu ana namna yake ya kujifariji. Arsenal tunajifariji kwa kutokukosa top 4, nyie mnajifariji kwa kutoipata top 4 as the result mnafukuzana. Kama unaweza kuitafuta ndoo ya UCL kwa mara ya 6 kwa kumaliza top 8 be my guest.
tumewaachia mpaka angalau mpate kimoja au ata nusu kama ipo ndio wenye Mashindano yetu tuje tena.
 
Tangu Liverpool iwe floop ulaya (UCL),..!! Hamna timu ya Uingereza ili/nayo nyanyasa kwenye UCL kutoa ubingwa wa Utd (2008) & Chelsea (2012)
 
Yaani Mtu Amekuwa Moga Kiasi Hichi..!!!!
Nilifikiri Ni Pekeyangu Nilieoona Kuwa Juzi Liverpool ilipocheza Palace ilicheza Mpira Wa Ajabu ambao Kwa Akili Ya Kawaida Huezi Kuamini Kama Binadamu Wanaweza Kuucheza! Kumbe Mpaka Wapinzani Wameona 😀😀😀😀😀 .......!
Musiogope Yule Ndiyo Klopp Mfalme Wa Kutengeneza Timu ikawa na Pace.....
Unajua nini maana ya Pace??
Maana ya "PACE" ni → "Consistent and Continuous Speed in Running"......

Sasa Wanavyocheza Liverpool si Ajabu Bali JK kawatengeneza Waweze Kuwa Na Pace na Kwa Mara Ya Kwanza imefana Zaidi Katika Mechi Yetu Ya Palace...
Na Ndiyomaana Kuna Wachezaji Ndani Ya Liverpool Wana Vipaji Lakini Watakaa Benchi Kwa Kutokuwa Na hii Pace.....
Kwasababu ili uendane na Mfumo wa Klopp ni lazima uwe na Pace....
Na Mtu Wa Kwanza Kuadapt Mfumo wa Klopp ni Sadio Mane Ambaye Alionesha pace siku ya Arsenal... Baadae Akafuata Cout ndiye Mtu wa Pili Kuadapt Pace ya JK...

Na Kuna Mtu Mmoja Anaitwa Moreno (Fullback left) ana pace ya Ajabu lakini Kinachomharibia na Kukosa Trust ya JK ni kwamba Hajui Kulinda... Ni Tofauti na Milner! Milner anajua Kushambulia na Anajua Kukaba..

To be honest Moreno Kwa Kushambulia na Kueka Zile Kross na Pace ni Bora Kuliko Milner.. Ila Hatumuamini Moreno na Mimi Binafsi Siko Tayari Apangwe Kwa Sababu Hajui Kulinda.. Akishapanda na Mpira Ndiyo Kapanda.. Kurudi Anajisahau..




View attachment 427696
hahaha kichwani Chelsea moyoni Chelsea nimechekaaaa muno hahahahahaaahahahh",...!!!

Nani amwambie JK Moreno ni wakumbadilishwa no. pace yake ability yake y ku-shot, kufunga Dahh unayakumbuka ya G.Bale
defending ndio inanipa tabu
 
Tutamkosa Ings msimu mzima tena knee injury against Totts kwenye ELF.

Dogo alikaza kurudi vema ila bahati si yake

1478091490514.png
 
“It’s very difficult to play against them,”Alan Pardew said. “The speed, the runners, they’re coming from every angle. They’ve got some fantastic players.

“Firmino plays that striker’s role really clever, you don’t really know where he is and it’s unnatural for centre halves. He pulls you around, pops up in midfield, then when he’s in midfield, someone else replaces him. It’s like a piston in an engine working there.”

“They’re a very good side,” echoed McArthur. “I’d say that’s the best side we’ve played this year as a team performance. The front six, the way they press the ball and rotate, they are a really strong contender this year in my opinion.”

Pardew na McArthur wenyew wamekubali..... Gegenpress ni balaa asee.... Klopp msimu huu ni wetu...THE KOPITES [HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
rubaman ktk soccer elites wa Ulaya Arsenal hawamo
Kwa Ulaya ranks Arsenal wapo sawa tu na akina Atletico Madrid
No even single kombe la CL hata UEFA!!
Liverpool ni kundi sawa na akina Madrid,AC Milan,Juve,Bayern na Barca
Kuna kundi la pili akina Man u,Chelsea na akina Monaco huko

Mkuu umetema madini
Asante Kwa kutoa somo
Huwezi kuwa elite wa Europe wakati huna hata ndoo moja Ya UEFA Champion League
 
Mi nadhani Barca ndo wapo serious kufuatia kuzeeka kwa Iniesta na kuumia umia kwa Rafinha alcantara ndo maana wapo serious na coutinho ishu ya barca kumtaka coutinho ilianza muda hata kabla ya kumchukua Suarez

Madrid wana James Rodriguez, Isco kama wapo na nia na coutinho watupe Isco na hela itakuwa good business kabla wenger hajamchukua
 
haswaa kwa Isco apo biashara nzuri kama ubet vile
500/= ikuletee 100000
Dahh",.. aamue tu kama Gerrard atakua star wa ulimwengu maana Liverpool hii itakua ya moto
hata huko ucl
 
nasikia PSG wana mtaka pia, Barca naona wapo determined kweli

Iwapo Tutashindwa Kumzuwia Coutinho Asiende Real au Barca Basi Biashara iwe ni Moja tu! Tumu yoyote Itakayomtaka itayarishe £70 na Mchezaji.... Pesa bila ya Mchezaji Sio business Nzuri, Buisiness Nzuri ni lazima Watume Mchezaji anayewiana na mfumo wetu.. Kwa real ni James au Isco... Barca I'm not sure ni nani.....
 
️ LFC wanataka kum-promote Michael Edwards ambaye kwa sasa ni technical director kuwa sporting director au director of football (in charge of all transfers at Anfield)

Kama akitangazwa atakuwa ni DF wa kwanza since 2012 alipoondoka Comolli, after BR ignore to work under DF.
 
Jürgen Klopp & Philippe Coutinho have been shortlisted for the Premier League’s October Manager and Player of the Month awards respectively.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom