Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Confirmed Michael Edward new Director of Football

1478263289974.png
 
Again, ukiona fans wa timu nyingine Hapa The Kop basi ni evidence tosha kwa mapenzi walionayo juu Ya LFC
YNWA
 
Again, ukiona fans wa timu nyingine Hapa The Kop basi ni evidence tosha kwa mapenzi walionayo juu Ya LFC
YNWA
Sure Mkuu, tusiwe tunawafukuza......wana mapenzi ya dhati kabisa kwa LFC,.....fikiri mtu ana uzi wake then kila saa yupo LFC-ST.....Hii inaonesha ni jinsi gani ambavyo hawawezi kutulia bila kuwaza kuhusu LFC........lazima wawaze maana ndilo tishio lililobaki EPL.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom