Dah kweli huu ni upuuzi ndo zinazotushushaga tukiwa point sawaDaaah .... 5:1
Utabiri umetimia....leo mchezo ulikuwa mteremko tu.We're going to have Watford in the Abattoir.
It is doubtless that it will be another landslide victory.
Wamekula sita hata kumi leo wangeondoka nazo leo Sturridge a.ka. mavugo amekosa magoli mepesi leoTuwachape tano hawa...
Sturridge atabaki kuwa wa benchi tu...hadi kukuche ndo anaingia nimemuona klop hakupenda game baada yake kuingiaWamekula sita hata kumi leo wangeondoka nazo leo Sturridge a.ka. mavugo amekosa magoli mepesi leo