Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Here we go again
1478438699868.png
 
Huyu Lucus Tayari Ameshaichota Trust ya Klopp Ya Defender! Na Klavan inaonesha Wazi Kuwa Kwenye Defence Line Yeye ni Chaguo la Tatu Nyuma Ya Matip, Lovren na Lucus....

Kwa Maoni Yangu Binafsi Nahiari Acheze Klavan Kuliko Lucus! Kwasababu Lucus Anapenda Kucheza Faulo Za Kipumbavu ndani Ya Penalt Area.... Kwahiyo si rahisi Mechi Kuisha Asipigishe Penalt au Atafungisha Goli Kwa Njia Yoyote hile Kama Alivyofanya Siku ya Lesta na Siku ya Spurs..
 
Huyu Lucus Tayari Ameshaichota Trust ya Klopp Ya Defender! Na Klavan inaonesha Wazi Kuwa Kwenye Defence Line Yeye ni Chaguo la Tatu Nyuma Ya Matip, Lovren na Lucus....

Kwa Maoni Yangu Binafsi Nahiari Acheze Klavan Kuliko Lucus! Kwasababu Lucus Anapenda Kucheza Faulo Za Kipumbavu ndani Ya Penalt Area.... Kwahiyo Surahisi Mechi Kuisha Asipigishe Penalt au Atafungisha Goli Kwa Njia Yoyote hile..
Tofauti na makosa ya kipumbavu anayoyafanya Lucas kuna vitu adimu anavifanya kama vile beki mwenye uzoefu ndicho kinamfanya Klopp amuamini,kwa upande wangu namkubali na kwa gemu ya leo hatorudia ujinga na cleansheet muhimu.
 
Ok! Wacha tutegemee Hilo Kwa Kumuangalia Gemu ya leo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom