Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Now bring on the Manchester teams
Jiji la Manchester hamliwezi, nyie jichapieni hao hao Londoners
Now bring on the Manchester teams
last season hao mancs wote walikalia kichapo...labda umesahau robo fainali ya Europa League,..hao man shity nao walikaa after capital one final....Jiji la Manchester hamliwezi, nyie jichapieni hao hao Londoners
Ha ha haa!..hasa hawa manyumbu unitedlast season hao mancs wote walikalia kichapo...labda umesahau robo fainali ya Europa League,..hao man shity nao walikaa after capital one final....
kiufupi saiv hatumuogopi mbwigaa yeyote....na mkija Anfield ndo mtatujua vizuri hasa ninyi manyumbu united....
Kweli huyu mane yuko vizuri, hongera Liverpoolhongereni sana huyu SADIO MANE ni habari nyingine
Sisi tunajua kutukana zaidi......tukianza kuporomosha matusi hapa utajitoa jamiiforums....pumbavu weweShenzi sana nyie...timu haina pesa mnambela tu...ovyi ovyo...mane atafanya mini sasa pale....
Mbona yule kasema anaondka Chelsea next season....anavunja mkataba
Msimu wa 2013-2014 Mignolet alisave penati kwenye mechi ya kwanza ya msimu na tukamaliza wapili na tukiwa tumefungwa magoli mengi na leo Mechi ya kwanza ya msimu 2016-2017 Mignolet amesave penati tena na tukiwa timu iliyofungwa goli nyingi mwanzo wa msimu so far
Is there any coincidence??
we need a f** new left back, that should be our priority asee, goal la walcot moreno was no were to be found in his positionSign a Controller Mid, and the league is ours.
Too early mkuuNow bring on the Manchester teams
Matip is better than Klavan, Lovren ugonjwa wake wa kuchemsha umerudi tena... Stewart atachukua namba sita full time very soonKlavan wa ukweli sana
Matip na Sakho wqkipona sijui itakuaje
Stewart mzuri pia tatizp letu ni huku kushoto tu
Stewart anajua sanaMatip is better than Klavan, Lovren ugonjwa wake wa kuchemsha umerudi tena... Stewart atachukua namba sita full time very soon
hatuna beki wa kushoto... tuna boya la kushotoStewart anajua sana
Lkn sisi hasa hasa tatizo ni beki wa kushoto sababu kipa hauna tatizo Karius anapona soon
Lkn Hector anakujahatuna beki wa kushoto... tuna boya la kushoto