Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Jana kwanza tumeweka rekodi ya ku-cover 117.6km no one didKuna Mtu wa Oldtrash Manua Manua United! kadai LFC kwenye ukumbi wa Arsenal inacheza kama Kuku tehteh inawezekana ila Pasi 30 mpaka goli jana sizani nikama kuku, Wao itakuwa wanacheza kama Konokono basi wangefunga wao pasi 30 goli Media na United fan ungeona majigambo yao. Ligi bado mapema mnooo.
Kama tumecheza ovyo akamuulize Cech jinsi alivyo changanyikiwa kwani baada ya mechi alishindwa hata kuendesha gari na kujikuta akigonga nguzo za kwenye maegesho