Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sema ila celebration ya Mane na Klopp. Dah imenisisimua kwakweli. Kwa Mane, Klavan, Wijnaldum, narudia tena tumelamba dume! Ila Henderson kama kawa ni mchezaji basic sana. Hana maudambwidambwi wala hamasa. Anacheza mpira wa darasani. Ukimbana hana ubunifu. Yaaani taaaabu!
 
humu ndani wapo kopities hawanifurahishi kabsaaa
vijembe vingi mno",.. tukifungwa moja tyu huku Moira ukiendelea.Tukisawazisha makosa yanaendelea ila huwaoni.
Tuache uoga,.. huu msimu hatareee mno
ni mwendo wa point tatu ukiangalia magoli unaweza toka na magoli bila point.

yawezekana hizi point tatu zikatuweka kwenye tittle race.

Zaidi klopp alete beki tatu,.. ili Moreno apelekwe wing na kubaki back up,.. DM ya maana. hapo moyo utaacha kukurupuka rupuka wakati was Game.

YNWA

I support you kwenye kununua hasa LB tena urgently...na DM ambao ni established kabisa.

JK atenge hata a total of 50-60M kwa hao wawili, tupate vitu vya uhakika. Huu msimu utakaa vizuri.
 
YNWA

Kwakweli shida yetu ipo upande wa kushoto kwa huyu Moreno. We need to do something if we want to get far. Kipa pia licha ya kuokoa penalty kwakweli hajanifurahisha. Mignolet ni mtu wa kutoka huku akisitasita na frankly speaking ni mbovu kwenye mipira iliyotulia. Hajui kuwapanga mabeki wake na hana mawasiliano mazuri na mabeki yake. Henderson hamna kitu kabisa. Bora awe anaanzia bench maana hana cha zaidi, anapoteza sana pasi na pia ni mzito.

Kiukweli tunakata ma fighter kama kina Mane ambae hawazi anapokabwa na wimbi la wachezaji.
 
Sema ila celebration ya Mane na Klopp. Dah imenisisimua kwakweli.

1471197006913.jpg
 
Sema ila celebration ya Mane na Klopp. Dah imenisisimua kwakweli. Kwa Mane, Klavan, Wijnaldum, narudia tena tumelamba dume! Ila Henderson kama kawa ni mchezaji basic sana. Hana maudambwidambwi wala hamasa. Anacheza mpira wa darasani. Ukimbana hana ubunifu. Yaaani taaaabu!

Yaani ilitakiwa Henderson gemu kama hizi awe anaingia kipindi cha pili huko...dk ya 70 na kuendelea tukiwa tumeshashinda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom