Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yule Moreno kaniudhi sana Jana. Siku zake zinahesabika. Anapenda kukimbia mbele tuuu hata hajali kamuacha nani nyuma
Alisababisha penati kipa kamsaidia...sekunde chache tu kakimbilia mbele katoka kwenye position ya kummark walicot katupia goli...

Sjui Klopp haoni madhaifu yake?....
 
Hata bao la 3 ona alipokuwepo wkt mpira umepigwa upande wake!Yule akibaki awe winga tu sio kukaba!Muda wote hayupo ktk lindo
 
Jinsi Nilivyopitia Twitter Jana Kwenye Official Account ya Liverpool FC (@LFC) on Twitter basi Fanboys Wa Liverpool Walivyomchana Moreno Nahisi Klopp na Bodi Yake Ujumbe umeshamfika Na Nadhani Milna Atazuia Dimba la Fullback Left kwa 100%.

Ok! Leo ni Siku Ya Furaha Kwangu kwani Arsenal Ninawachukiaaaaaaaaaaa!
 
Kuna Mtu wa Oldtrash Manua Manua United! kadai LFC kwenye ukumbi wa Arsenal inacheza kama Kuku tehteh inawezekana ila Pasi 30 mpaka goli jana sizani nikama kuku, Wao itakuwa wanacheza kama Konokono basi wangefunga wao pasi 30 goli Media na United fan ungeona majigambo yao. Ligi bado mapema mnooo.
 
Usiogope mkuu,ndiyo wanavyo fanya siku hizi ili kuongeza bei
Kama tukienda na 25-30 M tunampata kiurahisi kabisa
Milner sijui atapona mechi ijayo?Maana Moreno hafai kabisa
Anaweza akawa mzima. Klopp bado ana imani na Moreno...ataanza tu mechi ijayo
 
Kuna Mtu wa Oldtrash Manua Manua United! kadai LFC kwenye ukumbi wa Arsenal inacheza kama Kuku tehteh inawezekana ila Pasi 30 mpaka goli jana sizani nikama kuku, Wao itakuwa wanacheza kama Konokono basi wangefunga wao pasi 30 goli Media na United fan ungeona majigambo yao. Ligi bado mapema mnooo.

Goal alilofunga Mane, angefunga Ibra, English medias zingeongea week nzima..manake lile alilofunga dhidi ya Bournemouth, tuliambiwa ni "whaaaaat a goal"..
 
Anaweza akawa mzima. Klopp bado ana imani na Moreno...ataanza tu mechi ijayo

Hamna Chaguo La Klopp Sio Moreno, bali Ni James Milna Na Ndiyo Maana Katika Mechi Za Pre-Season Zote ikiwemo Hile Ya Barselona Alikuwa Akimchezesha Milna Kama Fullback Left kwa Ajili Ya Kumtayarisha Kwa Msimu huu!
Lakini Bahati Mbaya Injury Ya Milna ndiyo iliyomfanya Klopp Ampange Moreno.
 
Kuna Mtu wa Oldtrash Manua Manua United! kadai LFC kwenye ukumbi wa Arsenal inacheza kama Kuku tehteh inawezekana ila Pasi 30 mpaka goli jana sizani nikama kuku, Wao itakuwa wanacheza kama Konokono basi wangefunga wao pasi 30 goli Media na United fan ungeona majigambo yao. Ligi bado mapema mnooo.

Kuna Mmoja Jana Kabla Ya Gemu Aliponiona Nimetinga Uzi Wa Liverpool Akanifata Akaniambia Hiyo Jezi ivue!!
Nikamuuliza Kwanini??
Akaniambia Nyinyi Mutafungwa Na Arsenal! Kwani Hamukumoana Alivyomfanya Man City??
Nikamjibu Klopp si Gurdiola...

Leo Si Nimemsaka Yule Jamaa!! Mbona Kapoteaaaa!
 
Nimerudia kuitazame mechi yetu ya jana na Arsenal kwa utulivu, bado sioni ni kwanini Moreno alisababisha ile penati! Alikuwa na uwezo kabisa wa ku-intervene na kumtibulia Walcot vizuri kabisa bila kisababisha madhara yoyote.
 
Moreno made only 1 mistake jana, na ilikuwa ni ile tackle kwa walcott kwenye box ambayo ilipelekea penalty.

But lile goal la kwanza la walcott ambaye alikuwa at fault ni Lallana, siyo moreno..mpira ulikuwa ushahama na Moreno alikuwa anapanda kusaidia mashambulizi, Lallana akapoteza mpira, na Moreno tayar alikuwa hayupo kwenye nafasi yake. Tunaweza kusema as a fullback alitakiwa kuwepo kwenye eneo lake, but tulikuwa katika move ya counter, angebaki vipi? KLOPP anapenda kuwa na attacking FBs..ambao wanatembea na moves..haruhusu FB kusit back wakat team ina press high on the pitch..

So kama mnamlaumu Moreno kwa goal la Walcott, mum-laumu na Lallana pia kwa kupoteza mpira kwasababu ya his useless turn ambayo iliaribu Move nzima..Moreno peke yake hakuwa at fault.

Back four yetu yote jana, ni Klavan tu ndiyo alicheza vizuri..perfomance mbovu ya Lovren imefunikwa na makosa ya Moreno (scapegoat)..

And people are crying out for LB, LFC main problem ni DM, controller ambaye atakuwa anaslow pace ya game na kudictate play..na ndo maana Klopp tried for Dahoud..and kama hatutapata DM, msimu huu utakuwa kama ule wa 2013/2014..results zitakuwa ni 4-3, 3-2 etc..so fasten your seatbelts..
 
Mie sio kama namchukia Moreno au Nataka auzwe asiuzwe ila Moreno lazima awepo beki wa kushoto wakufanya Moreno ajitambue makosa yake hasa ya kutaka kurukia mpira ndani ya box au nje ya chalk ya box miguu miwili kwa kujiamini bila kufikiria na kupanda ovyo bila kufikiria nani kamzibia nafasi. Moreno hafikirii wenzake tizama Klavan alikuwa anawapanga kule nyuma kama Captain na sijui kama Lugha anajua au anatumia lugha ya football? Tunahitaji watu kama Klavan hata Lovren asipende kufanya maamuzi ya kurukia kitu si chakurukia.
 
Moreno made only 1 mistake jana, na ilikuwa ni ile tackle kwa walcott kwenye box ambayo ilipelekea penalty.

But lile goal la kwanza la walcott ambaye alikuwa at fault ni Lallana, siyo moreno..mpira ulikuwa ushahama na Moreno alikuwa anapanda kusaidia mashambulizi, Lallana akapoteza mpira, na Moreno tayar alikuwa hayupo kwenye nafasi yake. Tunaweza kusema as a fullback alitakiwa kuwepo kwenye eneo lake, but tulikuwa katika move ya counter, angebaki vipi? KLOPP anapenda kuwa na attacking FBs..ambao wanatembea na moves..haruhusu FB kusit back wakat team ina press high on the pitch..

So kama mnamlaumu Moreno kwa goal la Walcott, mum-laumu na Lallana pia kwa kupoteza mpira kwasababu ya his useless turn ambayo iliaribu Move nzima..Moreno peke yake hakuwa at fault.

Back four yetu yote jana, ni Klavan tu ndiyo alicheza vizuri..perfomance mbovu ya Lovren imefunikwa na makosa ya Moreno (scapegoat)..

And people are crying out for LB, LFC main problem ni DM, controller ambaye atakuwa anaslow pace ya game na kudictate play..na ndo maana Klopp tried for Dahoud..and kama hatutapata DM, msimu huu utakuwa kama ule wa 2013/2014..results zitakuwa ni 4-3, 3-2 etc..so fasten your seatbelts..
 
tukija Lallana hata mie jana ukitizama Comment kuhusu Goli ni Lallana amefanya turn ya kipuuzi wakati anajua hatuna DM pale ndio utapojua umuhimu wakuwa na DM wamaana ila Moreno pia vp anamkimbilia mtu au kamuacha Open? jiulize? anatakiwa awe kwenye bega lake Walcolt au mbele ya Walcolt haisomi game wala wenzake wala adui amekaa wapi tatizo! Lallana akiacha turn turn nyingi utafurahia. Moreno Bench litamsaidia Lete Peredes wa Roma Pale Kati.
 
Moreno angesit back, Klopp lazma angeshout kwenye Touchline, coz LFC wakianzisha Move, klopp huwa anataka wachezaji wote kasoro CBs watembee na moves..na kama uliona tulikuwa tupo kwenye move ya counter..ambayo inahitaji pace ya FBs..not only Moreno hata Clyne alikuwa kwenye Move, kama Lallana angepotezea mpira upande wa Clyne, tungekuwa tunamlaumu Clyne pia kwasababu lazima angekuwa exposed. Na ule mpira hata Walcott hakuutegemea kabisa,ni blunder ya Lallana ndo ilisababisha goal, Na ubaya wa counters lazima itengeneze gap, so ukiharibu Move kama opponents wapo clinical, wanakufunga kirahisi..

LFC tunahitaji DM, lasivyo kila siku tutakuwa tunascapegoat players, DM ndiyo mzizi wa kila team ambayo inahitaji mafanikio..Paredes is available for €22m tu..kama Klopp anaona Ni Dahoud tu ndiye anamuhitaji na BMG hawawez kuuza kwasasa, atafute hata short term Cover tu, team zote kubwa Zinasplash cash kwa DM, but siyo sisi..Imagine Can, Gini, Grujic na DM wa ukweli, with our attacking force..

Jana nadhani kila mtu kaona umuhimu wa Gini, kwenye lile goal la pili la Lallana, anaanzisha play/move from deep, sasa imagine tukipata Midfield wa kuwalinda Can na Gini..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom