Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Boss words
1470851635035.jpg
 
Thienry Henry believes that the player who will have the best season is Sadio Mane at Liverpool far above expected Ibrahimovic and Pogba.
 
Dan akiwa mzima atafunga bao nyingi kwa ball through za Mane!

Klopp kaleta watu wa ukweli sana hata Klavan na Grujic wazuri pia
Shenzi sana nyie...timu haina pesa mnambela tu...ovyi ovyo...mane atafanya mini sasa pale....
Mbona yule kasema anaondka Chelsea next season....anavunja mkataba
 
Shenzi sana nyie...timu haina pesa mnambela tu...ovyi ovyo...mane atafanya mini sasa pale....
Mbona yule kasema anaondka Chelsea next season....anavunja mkataba
Mwenye kujua mods wa jukwaa la michezo pls mtoeni huyu mtu anayekuja kwenye jukwaa letu kutukana!
Hapa ni jukwaa la watu wanao jiheshimu sana
Wanao bishana bila lugha za ajabu kama zako
Please ondoka hapa,hatukuhitaji
Nenda kwenye majukwaa ya watu wanao tumia lugha kama zako,sio hapa
Wana Kopites yyt mweny jina la mods wa jukwaa la michezo naomba nimripoti huyu
Pazi
MosDef
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom