Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
hahahaha yaliyopita siyo ndwele mkuu tanaganga yajayo
Naona umekuwa wa kwanza kumaliza ban,wengine watarudi lini hapa
hahahaha yaliyopita siyo ndwele mkuu tanaganga yajayo
Kitambo sana. Sijakuona my braza. Karibu Wembley stadium unipe support leo
Acha tufurahi tu chief, I hate Liverpool from deep down of my heart
Najiuliza wangeshinda leo sijui kesho ingekuaje kazini aisee,
nipo mkuu baada ya counselling ndefu ..... hahha mkuu niwie radhi tu ila kishingo upande all the bestKitambo sana. Sijakuona my braza. Karibu Wembley stadium unipe support leo
Naona umekuwa wa kwanza kumaliza ban,wengine watarudi lini hapa
nipo mkuu baada ya counselling ndefu ..... hahha mkuu niwie radhi tu ila kishingo upande all the best
asante sana. Karibu kwetu Leo kuna pilau na juicehata mimi mkuu, I hate Manchester United from deep down of my heart
Najiuliza mkishinda leo sijui itakuwaje maishani aisee
itakuwa pouwaaaa......pole mtani maana tunashinda........Kishingo upande aiyola aiyolalile....nipo mkuu baada ya counselling ndefu ..... hahha mkuu niwie radhi tu ila kishingo upande all the best

![]()
asante sana. Karibu kwetu Leo kuna pilau na juice
Karibu sana Mtani nilikumiss Sana'a.......Asante mtani
Wewe njoo na ndizi yako tu Kila kitu kiponakuja na ndizi kabisa vipi kachumbari ipo ama nipitie gengeni kununua mahitaji?
Kishingo upande aiyola aiyolalile....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kishingo upande aiyola aiyolalile....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sisi Reds wenzio usitufanyie hivyo.hahahhaa mtani msitufanyie hivyo
Karibu sana Mtani nilikumiss Sana'a.......
sawa mkuuWewe njoo na ndizi yako tu Kila kitu kipo
Sisi Reds wenzio usitufanyie hivyo.