privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,446
- 1,282
Hivi kwenye ligi liver imemaliza ya ngapi?? Au mwakani wao ni kama chelsea?? Hamna hata futuhi??
Mkuu kama kusingekuwa na zile timu zinaitwa Leicester, West Ham na Southampton katika EPL basi ungewaona tena Liverpool msimu ujao huko Europa