Nyie ni mashetaniSisi Reds wenzio usitufanyie hivyo.
Mkaanga sumu msiba veeepe? Pole jamani Ndio maisha. Kho Kho khokuna uwezekano wa kum-sign Ben Chilwell
Habari ya mujini kwasasa ni Mou ndani...... pole mtani kwa kuumia umeshindwa kuja kunipa Hongera hata ya kinafiki? Bora Pazi kajitosakumbuka mkishinda LVG MUST STAY sasa sijui lipi bora

Wao mafanikio yao ni kucheza final 2. Na zote wametoka patupuMajiraniii
Wenzenu tuna![]()
![]()
shit clubMkaanga sumu msiba veeepe? Pole jamani Ndio maisha. Kho Kho kho
Nitakuwa na roho mbaya kama sitatoa pole kwenu majogooo. Teh teh..poleni. Ndio hivyo matokeo ni matokeo
Ila wale majamaaa wabayaaaaaa sio kwa kichapo kile. Mlilia kama vile mmekosa chance ya kwenda paradiso.
Hahaaaaa hapa ngumu tuHabari ya mujini kwasasa ni Mou ndani...... pole mtani kwa kuumia umeshindwa kuja kunipa Hongera hata ya kinafiki? Bora Pazi kajitosa![]()
![]()
![]()
.... hongera lakiniKarius arrives on Merseyside for his medical.
Mpitie YouTube ingawa hutapata sides zake zote kwa asilimia zoteSijawahi kumshuhudia huyo Karius ila natamani akija amtoe kabisa Migs pale langoni,ila kama itakuwa kinyume,daaaah nitahuzunika kinoma.
YNWA
Ndugu yangu upo lakini? Njoo kwetu Leo kuna juiceWishing both Joe Gomez and Pedro Chirivella a very happy 19th birthday!