XinKumi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 1,275
- 1,143
Wiki ijayo itajulikana Sakho atafungiwa kwa muda gani
Huku kufungiwa kwake kunaendana sambamba na kufungiwa national team,au anafungiwa kwa ngazi ya klabu tu?
YNWA
Wiki ijayo itajulikana Sakho atafungiwa kwa muda gani
Naona kamati ya usajili uko vizuri ila isije wakawa magarasa tuConfirmed : Loris in
Welcome to Liverpool boy
Hahaha nimepita kwenu naona Mo ndiyo habari ya mjiniNdugu yangu upo lakini? Njoo kwetu Leo kuna juice
Hahaha inaweza ikawa surprise ujueHahaha nimepita kwenu naona Mo ndiyo habari ya mjini
Ngoja niingie chimbo sikuwa interested sana na hii habari .... ila nahisi ni club tu sababu France squad nilimuonaHuku kufungiwa kwake kunaendana sambamba na kufungiwa national team,au anafungiwa kwa ngazi ya klabu tu?
YNWA
Hahaaaa mkuu ikitokea msimu huu hatubebi Epl ama FA (chaguo last mwisho kabisa) naacha kufatilia mpira kabisa hivyo yaweza ikawa muda wa mwisho kutangaza new sign zaidi new seasonNaona kamati ya usajili uko vizuri ila isije wakawa magarasa tu
Ngoja aje nione nani ataondoka nani atabakiHahaha inaweza ikawa surprise ujue
Hahahah ngoja niwe mnafiki kidogo. Naomba mkose Hayo makombe ili nione hii ahadi itatekelezwaHahaaaa mkuu ikitokea msimu huu hatubebi Epl ama FA (chaguo last mwisho kabisa) naacha kufatilia mpira kabisa hivyo yaweza ikawa muda wa mwisho kutangaza new sign zaidi new season
Huo mtihani kama akija Mourinho ila ngoja tuoneNgoja aje nione nani ataondoka nani atabaki
Hii ni kweli Tanzania nishachoma jezi zangu zote za simba na sifatilii tena soka letu. Huku nimekuja baada ya counseling ndefu sana. In Klopp I trustHahahah ngoja niwe mnafiki kidogo. Naomba mkose Hayo makombe ili nione hii ahadi itatekelezwa
Hii ni kweli Tanzania nishachoma jezi zangu zote za simba na sifatilii tena soka letu. Huku nimekuja baada ya counseling ndefu sana. In Klopp I trust
Kumbe hapa bongo ulikuwa wa mchangani pole sana. Kwahiyo sasa hivi umebaki Liverpool tuHii ni kweli Tanzania nishachoma jezi zangu zote za simba na sifatilii tena soka letu. Huku nimekuja baada ya counseling ndefu sana. In Klopp I trust
Hahaaa dharau hizo ila nishatoka hukoKumbe hapa bongo ulikuwa wa mchangani pole sana. Kwahiyo sasa hivi umebaki Liverpool tu
Klopp tunaweza chukua ligi, maana kwenye mechi za marudiano anafanya vizuri ila mechi moja inamsumbua. Let's hope the best in all occasions
Hahahaha basi yaishe. EPL na FA title ngoja tuone kama klopp atachukuaHahaaa dharau hizo ila nishatoka huko
Msimu huu hatuna mpinzani mkuuHahahaha basi yaishe. EPL na FA title ngoja tuone kama klopp atachukua
Ngoja tuone msimu ujao utakuaje.Klopp tunaweza chukua ligi, maana kwenye mechi za marudiano anafanya vizuri ila mechi moja inamsumbua. Let's hope the best in all occasions
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Jidanganye tu. Chama langu tunajipanga bado timu nyingineMsimu huu hatuna mpinzani mkuu