Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]![]()
Unawatafuta ukali ee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]![]()
Hahahhahhahaha nimecheka mpka machozi......Hamna mtani mimi mwanamke bana Nina roho ya huruma....from the bottom of my heart niliwaonea sana huruma......[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mimj simoooEver mimi sina huruma kwakweli acha wapigwe tu..tena wangepigwa hata 10 nyambaff kabisa,
Poleni sana bandugu zangu kweli ng'ombe wa maskini hazai akizaa ni dume.....poleni may be next season mtamake....... Ed n Edd nEddy pole sana best yangu daah jana hadi nimekuonea huruma kuingia humu, Malafyale pole sana nkamu , pole sana best mak89 Pazi wembeee Manga ML na marafiki zangu wote humu na wanazi wote wa LFC......You never walk alone.
Hahahaha uwiii imeandikwa lia na wanaolia na cheka na wanaocheka, ujirani kazi [emoji18]Pole ya nini dada yangu..unatakiwa uwape changamoto hawa wanafunzi
Dah haya bwana Jana kwa raha nlizokuwa nazo nkasahau kushusha na neti hata mmbu sikuwasikia tena usingizi mtaam [emoji38] [emoji38] [emoji38] nahisi nao walienda kutengeneza bwawa la damu ya maini kwenye ligi yao BG up lfc
Poleni sana bandugu zangu kweli ng'ombe wa maskini hazai akizaa ni dume.....poleni may be next season mtamake....... Ed n Edd nEddy pole sana best yangu daah jana hadi nimekuonea huruma kuingia humu, Malafyale pole sana nkamu , pole sana best mak89 Pazi wembeee Manga ML na marafiki zangu wote humu na wanazi wote wa LFC......You never walk alone.
hahahaha yaliyopita siyo ndwele mkuu tanaganga yajayo