Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

41201b013ebbcfe15ef958a5a4da2a2f.jpg
 
Umeacha au umeachwa ndo maisha yako sasa, hutokaa katu na mwanaume kudumu.

Ila usifanye haraka kabla hujajitathmini mwenye. "Thamani ya penzi ni kama ua moja unalochuma kati ya maua kadhaa kwenye mti"

Leo umeniamulia, sijaacha wala sijaachwa.
 
Sitongozwi mimi wanatongoza akili zao tu. Tanzania wehu wengi.

Hapa Kazi Tu.

Tena Dada fay utakuta ndio wanapenda tongozo balaa linamfanya anajiona binti hivi vitu vina raha yake kwenye maisha
 
Back
Top Bottom