Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Tupigeni magoti tusali..
Ama tumpelekee mganga kuku na udi....
Ama tumuulize nabii bwana mbona haurudi....

Niaje nivipi mbona haurudiiiiii
 
Yaani unavyojua kuua,siku yako itafika tu!!

Hapo nimeuaje sasa? We mshana jr unamjua vizuri lkn? Kusema wapo kuzimu si kwamba wamekufa ila kwakuwa hujui kinachoendelea ngoja nikuache tu.
 
Kila mtu na wake hapa wapweke we are like Damnnnnn
 
Hapo nimeuaje sasa? We mshana jr unamjua vizuri lkn? Kusema wapo kuzimu si kwamba wamekufa ila kwakuwa hujui kinachoendelea ngoja nikuache tu.

Ahaaaaa!!mambo ya mizimu,misukule,kufufuka e.t.c,my God cute b tunaweza tusimuone tena milele!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom