Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,939
- 8,883
Thank u dear, ngoja nikafanye booking ya boti ya kesho miee...jiandae kupokea mgeni.
Wifi yako yuko Dar anakusubiria Ana tiketi yako ya fastjet. Karibu mehboob
Thank u dear, ngoja nikafanye booking ya boti ya kesho miee...jiandae kupokea mgeni.
Daudi1 & Angelicious nyie watu mpo?
tumeachana bhana ndo niko kwenye mchakato wa kutafuta mwingine hauna aliyeko benchi unipe?
Habari zenu naitwa Ramar from mwanza,natafuta mchumba Mzuri mwenye kujipenda na kujitambua,mimi ni muajiriwa serikalini,Lengo ni kuwa na mauhusuano ya muda mrefu na tabia zikiendana tuwe mume na mke,umri ni miaka 17-22,make sure wewe ni mzuri coz hata mimi ni handsome pia.
Kwa aliye tayari anitafute kupitia namba hii 0718156463
ha ha ha ha...
Karibu chit chat
yap!! unatumia kinywaji gani?
yap!! unatumia kinywaji gani?