Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Hajakusimulia mambo ya misukule,mochwari,kufufuka kwa wafu e.t.c ukaota usiku mwanawane?
Aaaaache sasa! Mara anaanza kuniambia hivi kwa mfano nikigeuka nyoka hapa! Hapana chezea Mshana Jr.
Ananiamsha ananiambia dalingi ona wachqwi wanavyopita na ungo...nililala nikiwa nimesimama
 
Last edited by a moderator:
Hivi mnakutana live au kwa text tu? Mi mgeni jamani, naomba ke aliye free anipe mwongozo
 
Hivi mnakutana live au kwa text tu? Mi mgeni jamani, naomba ke aliye free anipe mwongozo

Mimi nimeingia juz juz tuu na tayari nimemtoa Kim nana toka Zenji to Arusha. Ni wewe tu na ubora wako.
 
Jamani swetieee, afu Arachuga baridi kuleee.....sijui nitoroke nije tena...

Karibu tena kiburudisho changu, msimu huu goma nalidhamini mie. Natanguliza shukurani kwa wewe kudhamini chezo lililopita...
 
Karibu tena kiburudisho changu, msimu huu goma nalidhamini mie. Natanguliza shukurani kwa wewe kudhamini chezo lililopita...

Thank u dear, ngoja nikafanye booking ya boti ya kesho miee...jiandae kupokea mgeni.
 
Back
Top Bottom