Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

sasa atoto hauwezi jua kama anakutosha kama u never get someone to compare with try me u won't regret to know me

Mie sio mtoto ujue, mpaka hapa na uzee huu ujue nishapita kwingi ila kwa wax ndio funga kazi, sory nishafika ninapopataka hapa sibanduki, we kula kwa macho tu maana hamna namna, muache wax wangu afaidi vyake kwa raha zake.
 
Last edited by a moderator:
Eli79 njoo huku baba nawe ujaribu bahati yako maana huu mwaka sio mzuri kwako.
 
Last edited by a moderator:
Mie sio mtoto ujue, mpaka hapa na uzee huu ujue nishapita kwingi ila kwa wax ndio funga kazi, sory nishafika ninapopataka hapa sibanduki, we kula kwa macho tu maana hamna namna, muache wax wangu afaidi vyake kwa raha zake.

Asante dear
 
Last edited by a moderator:
I know, and i love you more than the word itself.

Ooooh, come baby lets go, fanya haraka si unajua tena!

Ucjal baby nishafika tujifunke bas coz hii baridi ni shidaaaa
 
Nasubiri mpaka niliempenda aje maana keshaitwa na mkuu Kiwatengu
 
Hahahaaaaa lol...
Umenichekesha mkuuu...
Kwa hiyo ulifunga maombi ya mlimani Mungu ndo akakujibu?

kabisa nimepiga novena ya hatari nikaambiwa upo jf kuingia tu nakutana na dp yako nikatabasamu na muandiko nilionyeshwa ni huu huu wako
 
Back
Top Bottom