Niko busy hapa kuazima ninja nije niserebuke, hebu ulizia kama st,ana zitakuwepo!
Keleuwiii hamna mbege? Ukipata mbege na ndafu inashuka kinoma
Msisahau kunipitia aiseee, nishapiga boonge la ninja, nikifika huko ni full vigelegele na vifijo, nitazitawanya st.anna leo kama sina akili nzuri.
Chezea wax wewe!!! Kila kitu kipo st Ana,Dompo,JacksD,Johnmtembezi,Mwendo wa Heineken tu n Windoek tu,mbege,chibuku etc
wax anatumia defencive mechanism tu, hapo kwani we hujui nani kaachwa? He never was so walaaa hawezi kunipa talaka, acha afanye sherehe nikaserebuke nitumie pesa zake za mwisho miwisho nikanywe st.ana za kutosha niongeze genye nikirudi home ni kugaragazana na manga wangu mpaka kunakucha.x shem unajua kunipa raha.
Ila shem lol sio kwa kumwacha shoga angu hivyo.
Ina maana hutaki ata mchepuko? Ngoja nivae dela yaani leo ni kukata mauno kama vile nakufa kesho
Huu uzi kiwatengu ufunge tuu shoga angu asije akaachwa tena
Na ndafu mamy umesahau
Chunguza time
Hahahaaa sijui kama atakuwa na hela ya wine kwa ulivyomchuna...
Hahhaaaa nimeona kama mbwai iwe mbwai
Kuja pande hizi>>>>>>>maramana hakuna namna nyingine...
Keleuwiii hamna mbege? Ukipata mbege na ndafu inashuka kinoma
Oouw!! nimesikia wito...