Labda hatujaelewana!! what i need is to set things clear!
and official as a retired officer of relationship affairs..
I will declare that you Manga and Atoto ur wife and husband!!
au you Manga and Atoto, ur relations is no longer exist
nirushie copy ya majibu yake.
Wewe ni Kidudu mtu wewe, haujawahi kuwa na njia kuu wala haitatokea kamwe!!
Wewe ni Kidudu mtu wewe, haujawahi kuwa na njia kuu wala haitatokea kamwe!!
Hesabu siku mkuu yupo njia kuu aasa ukimuona huko ujue kachepuka
Mweeeeh!!
Usishutuke nataka waje waone tunavyopendana
Umeona tunavyo pendana natumai amani ipo sasa ata masufuria hayana nafasi yuko wapi mwenzio
Cc cute b
Yaani ninavyompenda Manga ML we acha tu, sijui kanipa nini huyu mwanaume.