Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

siyo kidogo bado wa PM hao ndiyo barabara unaweza kuwapanga kuanzia mianzini mpaka kona ya Nairobi.

Mkuu nlikuona jana pale kimandolu kwa shaban ulikuwa na shansarie vp huyo ndo mamsapu
 
Last edited by a moderator:
Sanaaaaa, and thats how family is.

Hii ndoa ikivunjika utaniwowa nakwambia, we kazana tu.

Mmh umekula dau wapi? Mbona unakazana sana?

Looooh!!.. Allahu Akbar! Mungu mkubwa, yanaanza kukupata!!...Mkuu kiwatengu endelea kupambana kwani huyu mchepukaji anamuaibisha sana kaka yetu,anamchafua sana na ana nia ya kumharibu!
 
Last edited by a moderator:
Looooh!!.. Allahu Akbar! Mungu mkubwa, yanaanza kukupata!!...Mkuu kiwatengu endelea kupambana kwani huyu mchepukaji anamuaibisha sana kaka yetu,anamchafua sana na ana nia ya kumharibu!

Wacha we!! We ndio compaign manager nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom