Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
mimi sipo jf.....
kumbe hapa tupo chumbani mkuu nilikua sijajua
mimi sipo jf.....
hujambo lakini....?kumbe hapa tupo chumbani mkuu nilikua sijajua
hujambo lakini....?
nafurahi kabisa....me sijambo kabisa sjui ww
nafurahi kabisa....
aisee ngoja kidogo ndugu yangu.
Sasa mumeo ni nani? unachanganya.
nishaziona sababu za wewe kukataa kulindwa na mimi..
Tobaaaaa naomba manga ml asipitie mtaa huu lasivyo talaka inanisubiri asubuhi na mapema.
Yaani wewe nawe kamacmke wa balozi, huku nako umefikaje?