Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

ndio ujibu hoja ya Ngabu hapo juu kiufasaha...
btw hii ndiyo iliyofungiwa PM mi naipatanishaje? ha ha ha....

Unajua kwa Ngabu nimetua mabegi yote... Sasa wewe unanpeperushia ndege ujue. Hao uliowataja tushasahaulina mda mrefu ujue
 
ha ha ha ha... say hallo to wax...
mwambie una mwana familia wako ambaye mnaweza kukatana!!

Yaani mwanaume una majungu wewe! Hizo ni hasira za kufukuzwa kazi ama!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani mwanaume una majungu wewe! Hizo ni hasira za kufukuzwa kazi ama!!

hayo umeyaona majungu wewe?
si nikweli u were about kukatana? then u told me he is ur family member?
 
Back
Top Bottom